Kampala, TIMU ya Azam FC imetoka sare na Timu ya Mpira wa Miguu ya SC Villa ya nchiniUganda. Katika mchezo huo uliochezwa jana mjini Kampala,…
Continue Reading....Category: Michezo
TFF yatupilia mbali pingamizi la Yanga dhidi ya Simba
KAMATI haikusikiliza pingamizi la Yanga dhidi ya Simba kuhusu wachezaji iliyotoa kwa mkopo baada ya kubaini kuwa wachezaji ambao Simba imewatoa kwa mkopo ni wane…
Continue Reading....MECHI YA STARS, SUDAN YAFUTWA
CHAMA cha Mpira wa Miguu Sudan (SFA) kimefuta mechi ya kirafiki kati ya Taifa Stars na timu ya Taifa ya nchi hiyo ‘Nile Crododile’ iliyokuwa…
Continue Reading....JAN POULSEN AONGEZA WAWILI STARS
KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Jan Poulsen amewaita kwenye kikosi hicho wachezaji Juma Jabu kutoka Simba na Ramadhan Chombo ‘Redondo’ wa Azam FC kwa ajili…
Continue Reading....SERENGETI BOYS WAITWA MAZOEZINI
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys), Kim Poulsen na msaidizi wake Jamhuri Kihwelo wameita wachezaji…
Continue Reading....Nyota wa soka Japan Naoki afariki dunia
MCHEZAJI Kandanda wa Japan, Naoki Matsuda amefariki dunia siku mbili baada ya kupoteza fahamu uwanjani akiwa mazoezini huku ikiaminika kifo chake kimetokana na maradhi ya…
Continue Reading....