Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 360

Category: Michezo

Robin van Persie nahodha mpya Arsenal

Posted on: August 17, 2011 - jomushi
Robin van Persie nahodha mpya Arsenal

MSHAMBULIAJI wa Arsenal Robin van Persie amethibitishwa kuwa nahodha mpya wa klabu hiyo. Mshambuliaji huyo (28) anayechezea pia timu ya taifa ya Uholanzi, amekuwa katika…

Continue Reading....

Gervinho wa Arsenal afungiwa mechi tatu

Posted on: August 17, 2011August 17, 2011 - jomushi
Gervinho wa Arsenal afungiwa mechi tatu

MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Gervinho Kouassi amefungiwa mechi tatu kufuatia kutolewa nje kwa kadi nyekundu katika mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu ya soka ya England…

Continue Reading....

GERVAIS ANOLD KAGO KUNG’ARA NA SIMBA LIGI KUU YA VODACOM

Posted on: August 16, 2011August 16, 2011 - jomushi
GERVAIS ANOLD KAGO KUNG’ARA NA SIMBA LIGI KUU YA VODACOM

Simba imeingia mkataba na mchezaji Gervais Anold Kago kutoka klabu ya Olympic Real de Bangui ya Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) kwa ajili ya…

Continue Reading....

Ligi kuu ya England Sergio Aguero aanza vyema.

Posted on: August 16, 2011August 16, 2011 - jomushi
Ligi kuu ya England Sergio Aguero aanza vyema.

Meneja wa Manchester City Roberto Mancini, amemfananisha Sergio Aguero sawa na mshambuliji wa zamani wa Brazil Romario, baada ya Muargentina huyo kuanza vyema katika mechi…

Continue Reading....

Hatimaye Febregas atua Barcelona

Posted on: August 16, 2011August 16, 2011 - jomushi
Hatimaye Febregas atua Barcelona

Cesc Fabregas tayari ni mchezaji rasmi wa Barcelona baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano na mabingwa hao wa Ulaya. Nahodha huyo wa zamani wa…

Continue Reading....

Nyota wa mpira wa kikapu Marekani kuja Tanzania

Posted on: August 15, 2011 - jomushi
Nyota wa mpira wa kikapu Marekani kuja Tanzania

Taarifa kwa wadau na wapenzi wa mpira wa kikapu Tanzania. SHIRIKISHO la Mpira wa Kikapu Tanzania pamoja na ndugu zetu wa Ubalozi wa Marekani nchini…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari