Na Mwandishi Wetu TIMU ya African Lyon imeomba kuwalipa kwa makato ya mlangoni wachezaji wake wawili wanaoidai; Godfrey Komba na Abdul Masenga ambao ilikatiza mikataba…
Continue Reading....Category: Michezo
Timu washiriki Ligi Kuu kulamba mil 26.3 kila moja
Na Mwandishi Wetu KILA timu inayoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania inatarajia kupewa jumla ya sh. milioni 26.3, fedha zitakazotumika kama gharama ya klabu katika…
Continue Reading....Msimu mpya Ligi Kuu kuanza kesho, timu 10 kupambana
Na Mwandishi Wetu MSIMU mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom 2011/12 unaanza kesho, Agosti 20 mwaka huu, ambapo timu 10 kati ya 14 zinazoshiriki katika…
Continue Reading....Stars, kuikaribisha Algeria Mwanza
MECHI ya mchujo ya kuwania tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (CAN) zitakazofanyika mwakani nchini Equatorial Guinea na Gabon kati ya…
Continue Reading....Uefa wamkalia kooni Wenger
ARSENE Wenger huenda akakabiliwa na hatua zaidi za nidhamu kutoka Uefa baada ya kuthibitishwa mawasiliano yake na benchi la ufundi la Arsenal yanachunguzwa. Wenger alikuwa…
Continue Reading....Breaking Newz, Simba wapeleka kilio Jangwani, waikung’uta Yanga 2-0
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam HADI pambano la ngao ya hisani kati ya Simba na Yanga linalofanyika katika uwanja wa taifa Dar es Salaam…
Continue Reading....