Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 352

Category: Michezo

Ibrahim Masawe mchezaji bora Agosti

Posted on: September 16, 2011 - jomushi
Ibrahim Masawe mchezaji bora Agosti

KIUNGO wa Timu ya Polisi Dodoma, Ibrahim Masawe amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Agosti katika Ligi Kuu ya Vodacom. Masawe alichaguliwa kwenye mechi namba…

Continue Reading....

Ujue Msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom

Posted on: September 16, 2011 - jomushi
Ujue Msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom

LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania inaendelea nchini. Je, wataka kujua timu gani inaongoza na nani anafunga mkia katika msimamo wa ligi hiyo? Basi BOFYA hapa…

Continue Reading....

TFF, FIFA waandaa semina kwa wadau wa soka

Posted on: September 16, 2011September 16, 2011 - jomushi
TFF, FIFA waandaa semina kwa wadau wa soka

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira Duniani (FIFA) wameandaa semina ya siku tatu itakayofanyika Dar es Salaam kuanzia…

Continue Reading....

Vodacom yadhamini mafunzo ya waandishi wa michezo

Posted on: September 15, 2011 - jomushi
Vodacom yadhamini mafunzo ya waandishi wa michezo

MAFUNZO kwa ajili ya waandishi wa habari za michezo yatafanyika mkoani Morogoro Oktoba 1 na 2 mwaka huu chini ya udhamini wa Kampuni ya simu…

Continue Reading....

Kamati ya Nidhamu kukutana Sept 24 kuwajadili Rage, Sendeu

Posted on: September 15, 2011September 15, 2011 - jomushi
Kamati ya Nidhamu kukutana Sept 24 kuwajadili Rage, Sendeu

KAMATI ya Nidhamu na Usuluhishi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatarajia kukutana tena Septemba 24 mwaka huu kwa ajili ya kusikiliza mashauri…

Continue Reading....

TFF kuwasilisha mashtaka dhidi ya Sendeu

Posted on: September 14, 2011 - jomushi
TFF kuwasilisha mashtaka dhidi ya Sendeu

SEKRETARIETI ya TFF itawasilisha mashtaka dhidi ya Ofisa Habari wa Yanga, Louis Sendeu kwenye Kamati ya Nidhamu na Usuluhishi inayoongozwa na Kamishna wa Polisi mstaafu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari