Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 349

Category: Michezo

Taifa Stars yawasili salama Morocco

Posted on: October 8, 2011 - jomushi
Taifa Stars yawasili salama Morocco

Marrakech, Morocco TAIFA Stars imewasili salama hapa Marrakech, Morocco tayari kwa mechi dhidi ya wenyeji Morocco itakayochezwa Oktoba 9 mwaka huu saa 1.30 usiku kwa…

Continue Reading....

Timu ya 94KJ yaanza vema mechi za majaribio

Posted on: October 6, 2011 - jomushi
Timu ya 94KJ yaanza vema mechi za majaribio

Na Mwandishi Wetu ZIKIWA zimesalia siku nne kabla ya ratiba ya Ligi Kuu Daraja la Kwanza kuanza timu ya soka ya 94KJ yenye maskani yake…

Continue Reading....

Taifa Stars kuagwa Oktoba 6

Posted on: October 4, 2011October 4, 2011 - jomushi
Taifa Stars kuagwa Oktoba 6

TAIFA Stars inatarajiwa kuagwa Oktoba 6 mwaka huu saa 4 asubuhi kambini kwao hoteli ya Chichi iliyoko Kinondoni, Dar es Salaam kabla ya kuondoka siku…

Continue Reading....

Nsajigwa aumia mazoezini, wachezaji wa kulipwa waanza kuwasili

Posted on: October 3, 2011 - jomushi
Nsajigwa aumia mazoezini, wachezaji wa kulipwa waanza kuwasili

Na Mwandishi Wetu NAHODHA wa Taifa Stars, Shadrack Nsajigwa ameumia nyonga (groin) kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika leo Oktoba 3 mwaka huu, kwenye Uwanja…

Continue Reading....

RC Morogoro awaasa waandishi wa michezo

Posted on: October 2, 2011 - jomushi
RC Morogoro awaasa waandishi wa michezo

Na Mwandishi Wetu, Morogoro MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera amewataka waandishi wa habari za michezo kuacha dhana potofu ya kuripoti habari za uchochezi…

Continue Reading....

TFF yazionywa klabu Ligi Kuu ni kuhusu ada

Posted on: September 30, 2011 - jomushi
TFF yazionywa klabu Ligi Kuu ni kuhusu ada

WAKATI Ligi Daraja la Kwanza imepangwa kuanza Oktoba 15 mwaka huu, klabu saba kati ya 18 bado hazijalipa ada ili timu zao ziweze kushiriki katika…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari