Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 345

Category: Michezo

Mechi za wiki hii za Ligi Kuu ya Vodacom

Posted on: October 23, 2011 - jomushi
Mechi za wiki hii za Ligi Kuu ya Vodacom

Mechi za wiki hii za Ligi Kuu ya Vodacom ni kama ifuatavyo; Oktoba 24- Coastal Union vs Polisi Dodoma (Uwanja wa Mkwakwani) Oktoba 24- African…

Continue Reading....

Sabri Ramadhan aibuka Mchezaji Bora wa Sept

Posted on: October 23, 2011 - jomushi
Sabri Ramadhan aibuka Mchezaji Bora wa Sept

KIUNGO wa timu ya Coastal Union, Sabri Ramadhan ‘China’ amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Septemba katika Ligi Kuu ya Vodacom. Kwa mujibu wa taarifa…

Continue Reading....

Poulsen ataja wachezaji wa U17 watakao kwea pipa

Posted on: October 21, 2011 - jomushi
Poulsen ataja wachezaji wa U17 watakao kwea pipa

Na Mwandishi Wetu KOCHA wa Timu za Vijana Tanzania, Kim Poulsen ametaja kikosi cha Timu ya Vijana wa Chini ya Miaka 17. Kwa mujibu wa…

Continue Reading....

India yaitandika England katika kriketi

Posted on: October 21, 2011 - jomushi
India yaitandika England katika kriketi

India ikicheza nyumbani iliicharaza England 3-0 nakupata ushindi wa wiketi tano. Ikijitahidi ifanikiwe kupata runs 299, ilianza vyema kupitia wachezaji Ajinkya Rahane, aliyefanikiwa kupata runs…

Continue Reading....

Kalou ataka nafasi zaidi Chelsea

Posted on: October 21, 2011October 21, 2011 - jomushi
Kalou ataka nafasi zaidi Chelsea

SALOMON Kalou, mchezaji wa Ivory Coast ambaye huichezea Chelsea, ameielezea klabu hiyo kupata hakikisho kwamba atacheza mechi zaidi, kabla ya kukubali kutia saini mkataba mpya…

Continue Reading....

FIFA kupambana na ufisadi duniani

Posted on: October 21, 2011October 21, 2011 - jomushi
FIFA kupambana na ufisadi duniani

RAIS wa shirikisho la soka Ulaya, UEFA Michel Platini anasema FIFA lazima kuimarisha sifa nzuri ulimwenguni Michel Platini, na wakauu wengine saba kutoka barani Ulaya,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari