Watu sita walifariki baada ya basi lililokua likisafirisha wachezaji wa klabu ya mpira wa miguu Etoile Filante kudondoka katika korongo na kushika moto. Ajali hiyo…
Continue Reading....Category: Michezo
Liverpool na Manchester City hakuna mbabe.
Bao la kujifunga la Joleon Lescott lilifuta jitihada za awali za Vincent Kompany kufunga bao wakati Manchester City walipoongeza wigo wa pointi hadi tano wakiendelea…
Continue Reading....Zanzibar yashindwa kutamba kwa Burundi
Na Mwandishi Wetu TIMU ya Zanzibar, imeshindwa kutumia fursa ya kucheza nyumbani huku ikishangilia na idadi kubwa ya mashabiki na wapenzi wa mpira wa miguu…
Continue Reading....Zimbabwe yainyoa Djibouti Kombe la Tusker
Na Mwandishi Wetu TIMU ya Zimbabwe leo mchana imefanikiwa kiibanjua timu ya Djibouti mabao 2-0, katika Mashindano ya Kombe la Tusker Chalenji yanayoendelea jijini Dar…
Continue Reading....Arsenal presha juu kwa Fulham
Arsenal imeshindwa kuutumia vyema uwanja wa nyumbani baada ya kutoka sare ya 1-1 na Fulham. Beki wa Arsenal Thomas Vermaelen alijifunga mwenyewe na kuipa Fulham…
Continue Reading....Man U haina jipya kwa Newcastle
Manchester United imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na Newcastle United. Sare hiyo imeifanya Newcastle iliyo katika nafasi…
Continue Reading....