Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 293

Category: Michezo

Frederick Sumaye asikitishwa na soka la Tanzania

Posted on: July 2, 2012 - jomushi
Frederick Sumaye asikitishwa na soka la Tanzania

Mwandishi Wetu WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye ameeleza kusikitishwa kwake na kupoteza umaarufu wa soka la Tanzania kwa sasa ukilinganisha na miaka ya 1970. Sumaye…

Continue Reading....

Mara yakiona cha moto Copa Cocacola

Posted on: July 2, 2012July 2, 2012 - jomushi
Mara yakiona cha moto Copa Cocacola

TIMU ya Mara imeuanza vibaya mwezi Julai baada ya leo asubuhi kupata kipigo cha mabao 5-0 mbele ya Dodoma katika mechi ya michuano ya Copa…

Continue Reading....

Mahodha Stars wang’ara tuzo za Vodacom

Posted on: July 2, 2012July 2, 2012 - jomushi
Mahodha  Stars wang’ara tuzo za Vodacom

NAHODHA wa Taifa Stars, Juma Kaseja na msaidizi wake Aggrey Morris wameng’ara katika hafla ya kampuni ya Vodacom kukabidhi zawadi kwa wachezaji, klabu, waamuzi na…

Continue Reading....

Hispania mabingwa tena UEFA-EURO 2012, waipiga Italia 4-0

Posted on: July 2, 2012 - jomushi
Hispania mabingwa tena UEFA-EURO 2012, waipiga Italia 4-0

TIMU ya Taifa la Hispania hatimaye imekata mzizi wa fitina baada ya kunyakuwa la UEFA-EURO baada ya kuichakaza bila huruma timu ya Taifa la Italia.…

Continue Reading....

Mkoa wa Iringa wazindua michuano ya COPA COCA-COLA

Posted on: June 30, 2012 - jomushi
Mkoa wa Iringa wazindua michuano ya COPA COCA-COLA

IRINGA imezinduka kwenye michuano ya Copa Coca-Cola baada ya leo asubuhi (Juni 30 mwaka huu) kuifunga Kaskazini Pemba mabao 3-0 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa…

Continue Reading....

CECAFA watoa ratiba nzima ya michuano ya Kagame 2012

Posted on: June 29, 2012 - jomushi
CECAFA watoa ratiba nzima ya michuano ya Kagame 2012

MABINGWA watetezi wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame) wataanza kutetea ubingwa wao Julai 14 mwaka huu dhidi ya Atletico ya Burundi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari