Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 291

Category: Michezo

TFF yahani msiba wa Mwenyekiti FAM

Posted on: July 10, 2012 - jomushi
TFF yahani msiba wa Mwenyekiti FAM

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Mara (FAM),…

Continue Reading....

Timu za Sudan Kusini, Burundi zawasili kugombea Kagame

Posted on: July 10, 2012 - jomushi
Timu za Sudan Kusini, Burundi zawasili kugombea Kagame

EL Salam Wau ya Sudan Kusini na Atletico ya Burundi zinatarajiwa kuwa timu za kwanza kuwasili nchini kushiriki michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na…

Continue Reading....

John Terry wa Chelsea matatani kwa ‘kutusi’!

Posted on: July 9, 2012 - jomushi
John Terry wa Chelsea matatani kwa ‘kutusi’!

ANTON Ferdinand ameieleza mahakama kwamba ‘ningelikerwa sana’ na matamshi ya ubaguzi wa rangi kama ningelimsikia John Terry akitamka maneno hayo. John Terry, mwenye umri wa…

Continue Reading....

Mchaka mchaka Robo Fainali Copa Coca-Cola leo

Posted on: July 9, 2012 - jomushi
Mchaka mchaka Robo Fainali Copa Coca-Cola leo

ROBO Fainali ya michuano ya Copa Coca-Cola 2012 inayokutanisha vijana wenye umri chini ya miaka 17 inaanza leo Julai 10 mwaka huu kwa timu nne…

Continue Reading....

Timu za Kinondoni na Dodoma zaingia Robo Fainali

Posted on: July 8, 2012 - jomushi
Timu za Kinondoni na Dodoma zaingia Robo Fainali

*Rambirambi Shabani Semlangwa TIMU za Kinondoni na Dodoma zimeingia robo fainali ya michuano ya Copa Coca Cola 2012 baada ya kushinda mechi zao za 16…

Continue Reading....

URA na AS Vita kuwasili Julai 12 Kombe la Kagame

Posted on: July 8, 2012 - jomushi
URA na AS Vita kuwasili Julai 12 Kombe la Kagame

TIMU za AS Vita Club ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) na URA ya Uganda zinatarajia kuwasili nchini Julai 12 mwaka huu kushiriki michuano…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari