Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 284

Category: Michezo

Simba kuanza Ligi Kuu Bara Leo

Posted on: September 15, 2012 - jomushi
Simba kuanza Ligi Kuu Bara Leo

MICHUANO ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara inataraji kuanza leo huku Mabingwa watetezi Simba wakitarajiwa kuwakaribisha African Lyon kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.…

Continue Reading....

TFF kuipa Hospitali ya Temeke Vifaa vya Mil. 7

Posted on: September 13, 2012 - jomushi
TFF kuipa Hospitali ya Temeke Vifaa vya Mil. 7

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litatoa vifaa vyenye thamani ya sh. milioni 7.3 kwa Hospitali ya Temeke mkoani Dar es Salaam ambazo ni…

Continue Reading....

Simba walipiza kisasi, waifunga Azam FC 3-2

Posted on: September 11, 2012 - jomushi
Simba walipiza kisasi, waifunga Azam FC 3-2

MABINGWA wa ligi kuu Bara Simba, wametwaa ngao ya Jamii baada ya kuifunga Azam Fc mabao 3-2 katika mchezo uliopigwa katika uwanja wa Taifa jijini…

Continue Reading....

Maamuzi ya TFF Katika Utata wa Usajili

Posted on: September 11, 2012 - jomushi
Maamuzi ya TFF Katika Utata wa Usajili

Mchezaji David Luhende kusajiliwa Yanga Yanga ilikiri kutolipa ada ya uhamisho ya sh. milioni 5 kama walivyokubaliana na Kagera Sugar. Awali waliipa Kagera Sugar hundi…

Continue Reading....

Taarifa za TFF Septemba 11, 2012

Posted on: September 11, 2012 - jomushi
Taarifa za TFF Septemba 11, 2012

Taarifa za TFF Septemba 11, 2012 KAMATI ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ilikutana jana (Septemba…

Continue Reading....

FIFA kutoa kozi kwa waamuzi Dar es Salaam

Posted on: September 10, 2012 - jomushi
FIFA kutoa kozi kwa waamuzi Dar es Salaam

KOZI ya wakufunzi wa waamuzi (Futuro III Refereeing Course) ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) inaanza Septemba 10 mwaka huu jijini Dar…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari