Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 279

Category: Michezo

Ligi Kuu Bara Kuendelea Leo, Uchaguzi DRFA Wasogezwa Mbele

Posted on: October 12, 2012 - jomushi
Ligi Kuu Bara Kuendelea Leo, Uchaguzi DRFA Wasogezwa Mbele

MICHUANO ya Ligi Kuu ya Vodacom inaendelea Oktoba 13 mwaka huu kwa timu kumi kupambana kwenye viwanja vitano tofauti katika raundi ya saba ya ligi…

Continue Reading....

Wagombea Sita Wawekewa Pingamizi TWFA

Posted on: October 11, 2012 - jomushi
Wagombea Sita Wawekewa Pingamizi TWFA

WAGOMBEA sita wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Chama cha Mpira wa Miguu wa Wanawake Tanzania (TWFA) wamewekewa pingamizi na wadau wa mchezo huo. Kwa…

Continue Reading....

Tenga Azitaka Kamati za Uchaguzi Kusimamia Maadili

Posted on: October 9, 2012 - jomushi
Tenga Azitaka Kamati za Uchaguzi Kusimamia Maadili

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amezitaka Kamati za Uchaguzi kufanya kazi kwa kuzingatia Kanuni za Uchaguzi za Wanachama wa…

Continue Reading....

Simba, JKT Oljoro Zavuna Mil. 46/-

Posted on: October 8, 2012 - jomushi
Simba, JKT Oljoro Zavuna Mil. 46/-

*TFF Yatoa Pongezi kwa ARFA Na Mwandishi Wetu PAMBANO la Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Simba na Oljoro JKT ya Arusha lililochezwa Oktoba 7…

Continue Reading....

Ligi Daraja la Kwanza Oktoba 20, TFF Yawaadhibu Waamuzi Ligi Kuu

Posted on: October 6, 2012 - jomushi
Ligi Daraja la Kwanza Oktoba 20, TFF Yawaadhibu Waamuzi Ligi Kuu

KAMATI ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ilikutana Oktoba 5 mwaka huu kupitia na kufanya uamuzi katika masuala mbalimbali na kupanga…

Continue Reading....

Serengeti Boys Kuvunja Kambi

Posted on: October 5, 2012 - jomushi
Serengeti Boys  Kuvunja Kambi

Na Mwandishi Wetu TIMU ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) ambayo imepata tiketi ya kucheza raundi ya tatu ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari