Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 277

Category: Michezo

Matokeo ya Mpira wa Ligi Kuu Tanzania Bara Leo (27/10/2012)

Posted on: October 27, 2012 - jomushi
Matokeo ya Mpira wa Ligi Kuu Tanzania Bara Leo (27/10/2012)

Matokeo kati ya timu za Ligi Kuu Bara ni kama ifuatavyo: 1) Yanga 1 na Oljoro JKT 0 2) Simba 3 na Azam FC 1

Continue Reading....

Matokeo Ligi Kuu Tanzania Bara Leo (24/10/2012)

Posted on: October 24, 2012October 24, 2012 - jomushi
Matokeo Ligi Kuu Tanzania Bara Leo (24/10/2012)

1) Ruvu Shooting Stars 1 na Azam FC 1 2) Yanga 3 na Polisi Morogoro 0 3) Coastal Union 1 na African Lyon 0 4)…

Continue Reading....

Boniface Wambura wa TFF Aitwa Kuisaidia CAF

Posted on: October 23, 2012 - jomushi
Boniface Wambura wa TFF Aitwa Kuisaidia CAF

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linapenda kuwataarifu kuwa Ofisa Habari wake, Boniface Wambura ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu la Afrika (CAF)…

Continue Reading....

Azam Kuusaka Usukani wa Ligi Kuu Bara

Posted on: October 23, 2012 - jomushi
Azam Kuusaka Usukani wa Ligi Kuu Bara

*Michuano ya Ligi Daraja la Kwanza Oktoba 24 MICHUANO ya Ligi Kuu kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inaendelea tena Oktoba 24 mwaka huu kwa mechi…

Continue Reading....

Kamati ya Ligi Kuu Yaionya African Lyon, Serengeti Boys Waingia Kambini

Posted on: October 21, 2012 - jomushi
Kamati ya Ligi Kuu Yaionya African Lyon, Serengeti Boys Waingia Kambini

Na Mwandishi Wetu KAMATI ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeipa onyo kali timu ya African Lyon kutokana na washabiki wake…

Continue Reading....

Yanga na Ruvu Shooting Kucheza Uwanya wa Taifa, Viingilio Vyatajwa

Posted on: October 19, 2012October 19, 2012 - jomushi
Yanga na Ruvu Shooting Kucheza Uwanya wa Taifa, Viingilio Vyatajwa

*Mtanzania Aombewa ITC Marekani Na Mwandishi Wetu MCHEZO wa Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara kati ya Yanga na Ruvu Shooting uliopangwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari