Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 272

Category: Michezo

Matokeo ya Michuano ya CECAFA Tusker Challenge Cup 2012 (30/11/2012)

Posted on: November 30, 2012November 30, 2012 - jomushi
Matokeo ya Michuano ya CECAFA Tusker  Challenge Cup 2012 (30/11/2012)

Matokeo ya Michuano ya CECAFA Tusker Challenge Cup 2012 1) Kenya 3 na Ethiopia 1 2) Sudan Kusini 0 na Uganda 4

Continue Reading....

STARS Kuingia Kambini Baada ya Chalenji

Posted on: November 28, 2012 - jomushi
STARS Kuingia Kambini Baada ya Chalenji

Timu ya Taifa (Taifa Stars) inatarajia kuingia kambini baada ya kumalizika michuano ya Kombe la Chalenji inayofanyika Uwanja wa Taifa wa Mandela ulioko Namboole jijini…

Continue Reading....

Michael Yombayomba Kupambana na Said Omar Kuchangia wagonjwa wa Moyo

Posted on: November 28, 2012November 28, 2012 - jomushi
Michael Yombayomba Kupambana na Said Omar Kuchangia wagonjwa wa Moyo

MABONDIA wazamani walioiletea nchi Medali katika mashindano ya All Africa Games na Jumuiya ya Madola miaka ya 1998, Michael Yombayomba na Said Omari ‘Gogo Poa’…

Continue Reading....

Super D Kuwapeleka Vijana Olimpiki 2016

Posted on: November 28, 2012November 28, 2012 - jomushi
Super D Kuwapeleka Vijana Olimpiki 2016

KLABU ya ngumi ya Ashanti Ilala imeota kuwa moja ya klabu itakayotoa wawakilishi katika michezo ya Olimpiki itakayofanyika mwaka 2016 nchini Brazil. Klabu hiyo ambayo…

Continue Reading....

Tiketi Fainali za AFCON 2013 Kupatikana Mtandaoni

Posted on: November 21, 2012 - jomushi
Tiketi Fainali za AFCON 2013 Kupatikana Mtandaoni

WASHABIKI wanaotaka kushuhudia Fainali za 29 za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Januari mwakani nchini Afrika Kusini watapata tiketi kwa njia ya mtandao.…

Continue Reading....

Taarifa za Uchaguzi Mpira wa Miguu Vyama vya KAREFA, TASMA, RUREFA

Posted on: November 20, 2012 - jomushi
Taarifa za Uchaguzi Mpira wa Miguu Vyama vya KAREFA, TASMA, RUREFA

Mchakato wa uchaguzi wa KAREFA umefutwa kutokana na wagombea watano kati ya nane vyeti vyao vya elimu ya sekondari kuwa na utata. Mchakato wa uchaguzi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari