Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 271

Category: Michezo

TFF Yataka Wachezaji Congo Wapimwe Umri Upya

Posted on: December 5, 2012 - jomushi
TFF Yataka Wachezaji Congo Wapimwe Umri Upya

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewasilisha barua ya malalamiko yake dhidi ya matumizi ya wachezaji wenye umri mkubwa na unyanyasaji uliofanywa kwa maofisa…

Continue Reading....

Kozi ya Leseni ‘C’ Kufanyika Arusha Desemba 10

Posted on: December 5, 2012December 5, 2012 - jomushi
Kozi ya Leseni ‘C’ Kufanyika Arusha Desemba 10

Na Mwandishi Wetu KITUO cha Kukuza Vipaji cha Rolling Stone kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kimeandaa kozi ya leseni C…

Continue Reading....

Kenya, Uganda Waingia Nusu Fainali CECAFA Tusker Chalenji

Posted on: December 4, 2012 - jomushi
Kenya, Uganda Waingia Nusu Fainali CECAFA Tusker Chalenji

TIMU za Kenya na Uganda zimeingia nusu fainali za mashindano ya Kombe la CECAFA Tusker Chalenji, hivyo sasa zinasubiri kupambana na timu za Tanzania, yaani…

Continue Reading....

Tenga Asema Hakuna Hila Yoyote Juu ya Mabadiliko ya Katiba

Posted on: December 4, 2012December 4, 2012 - jomushi
Tenga Asema Hakuna Hila Yoyote Juu ya Mabadiliko ya Katiba

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amesema hakuna hila yoyote katika nia ya kutaka marekebisho matatu kwenye katiba kabla ya…

Continue Reading....

Kilimanjaro Stars Kucheza Nusu Fainali Alhamisi, Kombe la Uhai Desemba 22

Posted on: December 4, 2012December 4, 2012 - jomushi
Kilimanjaro Stars Kucheza Nusu Fainali Alhamisi, Kombe la Uhai Desemba 22

TANZANIA Bara (Kilimanjaro Stars) itacheza nusu fainali ya michuano ya Kombe la Chalenji 2012 Alhamisi ya Desemba 6 mwaka huu kwenye Uwanja wa Mandela ulioko…

Continue Reading....

Lowassa Awashauri Wabunge, Ataka Sheria ya Uanzishwaji ‘Sports Academy’

Posted on: December 1, 2012 - jomushi

WAZIRI Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa amewashauri wabunge wa timu ya Bunge Sports kufikiri juu ya kutunga sera ya michezo itakayoruhusu kuanzishwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari