Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 270

Category: Michezo

Kim Aita 24 Stars

Posted on: December 11, 2012December 11, 2012 - jomushi
Kim Aita 24 Stars

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen ametangaza kikosi cha wachezaji 24 kitakachoingia kambini jioni ya Desemba 12 mwaka huu kuajianda kwa mechi ya kirafiki…

Continue Reading....

Kilimanjaro Stars Yarejea Dar, Kim Poulsen Kutaja Kikosi cha Taifa Stars

Posted on: December 9, 2012 - jomushi
Kilimanjaro Stars Yarejea Dar, Kim Poulsen Kutaja Kikosi cha Taifa Stars

KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen kesho Desemba 10, 2012 saa 6 kamili mchana ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) atatangaza…

Continue Reading....

Uganda Mabingwa CECAFA Tusker Chalenji 2012

Posted on: December 8, 2012 - jomushi
Uganda Mabingwa CECAFA Tusker Chalenji 2012

Na Mwandishi Wetu, Uganda TIMU ya Taifa ya Uganda, The Cranes imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa Mashindano ya CECAFA Tusker Chalenji baada ya kuichapa timu ya…

Continue Reading....

Zanzibar Heroes Washindi wa Tatu CECAFA Tusker Chalenji, Waibamiza Kili Stars

Posted on: December 8, 2012 - jomushi
Zanzibar Heroes Washindi wa Tatu CECAFA Tusker Chalenji, Waibamiza Kili Stars

TIMU ya mpira wa miguu ya Zanzibar Heroes kutoka mjini Zanzibar imefanikiwa kutwaa nafasi ya tatu katika mashindano ya CECAFA Tusker Chalenji baada ya kuifunga…

Continue Reading....

Leo ni Leo Bingwa wa CECAFA Tusker Chalenji Mwaka 2012 Kujulika, Tanzania Mshindi wa Tatu

Posted on: December 8, 2012December 8, 2012 - jomushi
Leo ni Leo Bingwa wa CECAFA Tusker Chalenji Mwaka 2012 Kujulika, Tanzania Mshindi wa Tatu

LEO ni leo. Waswahili wanasema ‘mtoto hatumwi dukani’. Mashindano ya CECAFA Tusker Chalenji yanatarajia kumalizika leo jioni ambapo mbabe wa kombe hilo kwa mwaka 2012…

Continue Reading....

Zanzibar Yaondolewa CECAFA Tusker Chalenji

Posted on: December 6, 2012 - jomushi
Zanzibar Yaondolewa CECAFA Tusker Chalenji

TIMU ya Taifa ya Zanzibar, leo imeondolewa katika michuano ya CECAFA Tusker Chalenji baada ya kufungwa na timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars. Zanzibar…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari