Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 269

Category: Michezo

Rais wa TFF Awashukuru Waliompigia Kura

Posted on: December 17, 2012December 17, 2012 - jomushi
Rais wa TFF Awashukuru Waliompigia Kura

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amewashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu kwa kupigia kura waraka wa marekebisho ya Katiba, kwani…

Continue Reading....

Waraka wa Marekebisho ya Katiba ya TFF Wapita

Posted on: December 15, 2012December 15, 2012 - jomushi
Waraka wa Marekebisho ya Katiba ya TFF Wapita

Waraka wa marekebisho ya Katiba ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) umepita baada ya kuungwa mkono na theluthi mbili ya wajumbe wa Mkutano…

Continue Reading....

CAF Kufanya Ukaguzi wa “LESENI ZA KLABU Januari

Posted on: December 14, 2012December 14, 2012 - jomushi
CAF Kufanya Ukaguzi wa “LESENI ZA KLABU Januari

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) litatuma ofisa wake nchini mwezi ujao kwa ajili ya kufanya ukaguzi kwenye klabu za Ligi Kuu ya Tanzania…

Continue Reading....

Kipa Munishi Arejea Taifa Stars, Coastal Union Yaendelea Kusonga Uhai Cup

Posted on: December 13, 2012 - jomushi
Kipa Munishi Arejea Taifa Stars,  Coastal Union Yaendelea Kusonga Uhai Cup

TIMU ya Taifa (Taifa Stars) imeingia kambini jana jioni Desemba 12 mwaka huu jijini Dar es Salaam kujiandaa kwa mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi…

Continue Reading....

ZFA Yawafungia Wachezaji Wake Wote wa Timu ya Taifa

Posted on: December 12, 2012December 13, 2012 - jomushi
ZFA Yawafungia Wachezaji Wake Wote wa Timu ya Taifa

CHAMA cha Soka Zanzibar (ZFA) kimewafungia wachezaji wake wote waliokuwa katika kikosi cha timu ya taifa (Zanzibar Heroes) ambao walikuwa wakishiriki michuano ya CECAFA Tusker…

Continue Reading....

Uchaguzi wa Viongozi TWFA Kufanyika Moro Desemba 19

Posted on: December 11, 2012 - jomushi
Uchaguzi wa Viongozi TWFA Kufanyika Moro Desemba 19

UCHAGUZI wa viongozi wa Chama cha Mpira wa Miguu kwa Wanawake Tanzania (TWFA) unatarajia kufanyika Desemba 19 mwaka huu mjini Morogoro. Kwa mujibu wa taarifa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari