Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 267

Category: Michezo

Kim Poulsen Awaita 22 Kambi ya Stars

Posted on: January 1, 2013 - jomushi
Kim Poulsen Awaita 22 Kambi ya Stars

*CAF Yamtuma Liunda Kukagua Viwanja Ethiopia KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen ametaja wachezaji 22 watakaoingia kambini Januari 6 mwaka huu jijini Dar es…

Continue Reading....

Klabu Zasubiri Fedha zao TRA Zicheze Ligi Kuu

Posted on: December 29, 2012December 29, 2012 - jomushi
Klabu Zasubiri Fedha zao TRA Zicheze Ligi Kuu

KLABU 14 ambazo timu zao zinashiriki Ligi Kuu ya Vodacom zimesema hazitacheza hatua ya pili ya Ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Januari 26 mwakani hadi zitakaporejeshewa…

Continue Reading....

Mtiginjola Kuongoza Kamati ya Uchaguzi TFF

Posted on: December 24, 2012December 24, 2012 - jomushi
Mtiginjola Kuongoza Kamati ya Uchaguzi TFF

KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemteua Idd Mtiginjola kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Rufani ya Uchaguzi ya TFF iliyoundwa…

Continue Reading....

Simba Yapata Naasi ya 3 Kombe la Uhai

Posted on: December 24, 2012December 24, 2012 - jomushi
Simba Yapata Naasi ya 3 Kombe la Uhai

Simba imetwaa nafasi ya tatu katika michuano ya Kombe la Uhai inayoshirikisha timu zenye umri chini ya miaka 20 za klabu za Ligi Kuu ya…

Continue Reading....

Pambano la Cheka na Chimwemwe Kudumisha uhusiano kati ya TZ na Malawi

Posted on: December 23, 2012 - jomushi
Pambano la Cheka na Chimwemwe Kudumisha uhusiano kati ya TZ na Malawi

MPAMBANO wa kugombea ubingwa wa IBF katika bara la Afrika, Ghuba ya Uajemi na Mashariki ya Kati utafanyika wakati kukiwa na mzozo wa mpaka wa…

Continue Reading....

Taifa Stars Yaifanya Vibaya Zambia, Yaichapa 1-0

Posted on: December 22, 2012 - jomushi
Taifa Stars Yaifanya Vibaya Zambia, Yaichapa 1-0

TIMU ya Taifa Stars ya Tanzania leo imeifanya vibaya timu ya Taifa ya Zambia (Chipolopolo) baada ya kuifunga bao moja kwa bila. Zambia ambao ni…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari