KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inawaarifu wadau wote kuwa fomu za maombi ya uongozi wa TFF na Tanzania Premier…
Continue Reading....Category: Michezo
Azam FC Kiboko, Yatwaa Mapinduzi Cup Tena
TIMU ya AZAM FC imefanikiwa kutwaa Kombe la Mapinduzi ya Zanzibar baada ya kuifunga timu ya Tusker ya Kenya mabao 2-1. Tusker ndiyo ilikuwa ya…
Continue Reading....Tanzania Yachapwa 2-1 na Ethiopia
TANZANIA (Taifa Stars) imepoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya Ethiopia uliochezwa Januari 11, 2013 kwenye Uwanja wa Addis Ababa hapa jijini Addis Ababa, Ethiopia. Mechi…
Continue Reading....Taifa Stars Yawasili Salama Ethiopia, Kukipiga Leo
TAIFA Stars imefika salama nchini Addis Ababa tayari kwa mechi ya kirafiki dhidi ya wenyeji Ethiopia inayotarajia kufanyika leo. Mechi inachezwa Januari 11 Addis Ababa…
Continue Reading....Mwananchi FC, Micovilla FC Watoka Sare ya 2-2
Beki wa Mwananchi FC, M uhidin Sufiani ‘Sufianimafoto’ (kulia) akimtoka mchezaji wa Micovilla, wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama Dar…
Continue Reading....Stars Kukwaana na Ethiopia Januari 11
TIMU ya Taifa (Taifa Stars) itacheza mechi ya kujipima nguvu dhidi ya Ethiopia. Mechi hiyo itachezwa Januari 11 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini…
Continue Reading....