KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen ametaja wachezaji 23 watakaoingia kambini Jumamosi (Machi 16 mwaka huu) jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mechi…
Continue Reading....Category: Michezo
Rais Kikwete Ashiriki Msiba wa Yanga
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Machi 11, 2013, amejiunga na mamia ya waombolezaji kumzika aliyekuwa mchezaji hodari wa…
Continue Reading....FIFA Yaitega Serikali Tanzania, Yatishia Kuifungia TFF
SHIRIKISHO la Kimataifa la Vyama vya Mpira wa Miguu (FIFA) limesema litaifungia Tanzania iwapo itabainika kuwa Serikali imekuwa ikiingilia shughuli za Shirikisho la Mpira wa…
Continue Reading....Mechi ya Yanga na Toto Yaingiza 42,508,000/-
WATAZAMAJI 7,412 wameshuhudia pambano la Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Toto Africans lililochezwa jana (Machi 9 mwaka huu) Uwanja wa Taifa,…
Continue Reading....TFF Yang’ang’ana Kuonana Tena na Waziri Mukangara
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amemshukuru Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara kwa kukubali ombi…
Continue Reading....Yanga na Toto Kuumana Leo
MICHUANO ya Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inaendelea Machi 9 mwaka huu kwa mechi mbili ambapo vinara Yanga watakuwa wenyeji wa…
Continue Reading....