SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limezindua rasmi Mpango wa Maendeleo wa Mpira wa Miguu (Technical Development Plan- TDP) wa 2013-2016 ambao pamoja na…
Continue Reading....Category: Michezo
Leonard Thadeo Awataka Wanamichezo Kuacha Kulalama
Na Genofeva Matemu – MAELEZO WADAU wa Michezo wameshauriwa kuacha tabia ya kulalamika mara kwa mara pale wanaposhindwa katika mashindano ya michezo mbalimbali badala yake…
Continue Reading....Waamuzi Kutoka Comoro Kuchezesha Mechi ya Azam
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeteua waamuzi watakaochezesha mechi ya marudiano ya Kombe la Shirikisho kati ya Azam na Barrack Young Controllers II…
Continue Reading....Waliberia wa Azam FC Kuwasili Leo
TIMU ya Barrack Young Controllers II ya Liberia inatarajia kuwasili nchini kesho (Aprili 2 mwaka huu) kwa ajili ya mechi ya marudiano ya Kombe la…
Continue Reading....TFF Yatuma Rambirambi Coastal Union na Polisi Tabora
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mchezaji wa zamani wa timu za Coastal Union, TPC na Taifa Stars, Behewa…
Continue Reading....Ujumbe wa FIFA Kusikiliza Wagombea Uchaguzi wa TFF Kuwasili Aprili
SHIRIKISHO la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) ambalo lilisimamisha mchakato wa uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutokana na baadhi ya…
Continue Reading....