ITAKUMBUKWA kuwa mnamo tarehe 26/01/2015 Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lilisaini mkataba maalum na timu ya Real Madrid ya Nchini Hispania ya…
Continue Reading....Category: Michezo
Baraka Kizuguto Ofisa Habari Mpya TFF, Kamati Yaadhibu
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Baraka Kizuguto kuwa Ofisa Habari kuanzia Februari 1 mwaka huu. Kabla ya uteuzi huo, Kizuguto alikuwa Ofisa…
Continue Reading....Dk Mukangara Mgeni Rasmi Fainali za Wanawake, Rangers Yakwama
WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara atakuwa mgeni rasmi kwenye fainali ya michuano ya Kombe la Taifa Wanawake kati ya Pwani…
Continue Reading....Kamati TFF Yatupa Rufani ya Timu ya Mwanza Wanawake
KAMATI ya Mpira wa Miguu wa Wanawake ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetupa rufani ya timu ya Mwanza kupinga uhalali wa wachezaji…
Continue Reading....Timu Sita za Wanawake Zafuzu Robo Fainali
TIMU za mikoa sita tayari imepata tiketi za kucheza robo fainali ya michuano ya Kombe la Taifa la Wanawake itakayoanza Januari 26 mwaka huu jijini…
Continue Reading....Michuano ya CAF, Vilabu Sasa Kujilipia Hoteli
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limefanyia marekebisho kanuni zake za michuano ya ngazi ya klabu kwa upande wa malazi ambapo sasa timu zitachagua…
Continue Reading....