Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 168

Category: Michezo

Coastal Union Kucheza Kirafiki na Friends Corner

Posted on: July 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Coastal Union, Friends Corner
Coastal Union Kucheza Kirafiki na Friends Corner

MABINGWA wa Ligi kuu soka Tanzania bara mwaka 1988 Coastal Union ya Tanga kesho Iddi Pili inatarajia kucheza mechi ya kirafiki na timu ya Friends…

Continue Reading....

CECAFA Kagame Club Cup ‘On the Door

Posted on: July 17, 2015 - jomushi
Post Tags: CECAFA, Kagame Cup
CECAFA Kagame Club Cup ‘On the Door

Where should you stay with a wonderful moments during the match! COUNCIL for East and Central Africa Football Associations (CECAFA), launched the 2015 CECAFA–KAGAME Club…

Continue Reading....

Msanii Banza Stone Afariki Dunia Leo Dar..!

Posted on: July 17, 2015July 17, 2015 - jomushi
Post Tags: Afariki, Banza Stone, Msanii
Msanii Banza Stone Afariki Dunia Leo Dar..!

MSANII maarufu wa muziki wa dansi nchini, Ramadhan Masanja a.k.a Banza Stone amefariki dunia leo mchana jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda…

Continue Reading....

Cecafa Kagame Cup Kutimua Vumbi Jumamosi Dar

Posted on: July 14, 2015July 14, 2015 - jomushi
Post Tags: Cecafa Kagame Cup
Cecafa Kagame Cup Kutimua Vumbi Jumamosi Dar

MICHUANO ya Kombe la Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa Kagame Cup) inatarajiwa kuanza kutimua vumbi siku ya Jumamosi tarehe 18 Julai 2015 jijini…

Continue Reading....

CAF Yatoa Ratiba ya Fainali Michezo ya Afrika

Posted on: July 9, 2015 - jomushi
Post Tags: Twiga Stars
CAF Yatoa Ratiba ya Fainali Michezo ya Afrika

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) leo limetoa ratiba ya fainali ya michezo ya Afrika (All African Games), ambapo Timu ya Taifa ya…

Continue Reading....

Tanzanite Kukipiga na The Young She-polopolo ya Zambia

Posted on: July 9, 2015 - jomushi
Post Tags: The Young She-polopolo, Zambia
Tanzanite Kukipiga na The Young She-polopolo ya Zambia

TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania wenye umri chini ya miaka 20 (Tanzanite) itashuka dimbani siku ya jumamosi katika uwanja wa Azam Complex kucheza…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari