Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 167

Category: Michezo

Club ya Simba Yaendelea Kuleta Mapinduzi…!

Posted on: July 21, 2015July 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Club ya Simba
Club ya Simba Yaendelea Kuleta Mapinduzi…!

DHIMA yetu ya kuendeleza mabadiliko  ndani  ya Simba bado inaendelea kushika kasi, Katika  kipindi cha miezi mitatu sasa, mmekuwa mashuhuda wa Simba inayolenga kuleta mapinduzi…

Continue Reading....

Tanzanite ya Tanzania Yawafuata Young She-Polopolo

Posted on: July 21, 2015July 21, 2015 - jomushi
Tanzanite ya Tanzania Yawafuata Young She-Polopolo

TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania wenye umri chini ya miaka 20 (Tanzanite) wanatarajiwa kuondoka kesho jumatano asubuhi kwa Rwanda Air kuelekea nchini Zambia…

Continue Reading....

Coastal Union Yasajili 13 Msimu Mpya Ligi Kuu

Posted on: July 21, 2015 - jomushi
Coastal Union Yasajili 13 Msimu Mpya Ligi Kuu

KLABU ya Coastal Union imesajili wachezaji 13 ambao wataitumikia timu hiyo katika michuano ya Ligi kuu msimu ujao Tanzania bara unaotarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba…

Continue Reading....

Mbeya City FC Yamsaka Muuzaji, Muagizaji Vifaa

Posted on: July 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Mbeya City FC
Mbeya City FC Yamsaka Muuzaji, Muagizaji Vifaa

Na Mwandishi Wetu, TIMU ya Mpira wa Miguu ya Mbeya City iliyopo jijini Mbeya imetangaza zabuni kumsaka kampuni ambayo itapewa tenda ya uagizaji na uuzaji…

Continue Reading....

FIFA Kumchagua Rais Mpya 2016

Posted on: July 20, 2015 - jomushi
Post Tags: FIFA
FIFA Kumchagua Rais Mpya 2016

SHIRIKISHO la soka duniani Fifa litaandaa kongamano la dharura kuchagua rais mpya tarehe 26 mwezi Februari 2016. Hii ni licha ya rais aliyeko sasa Sepp…

Continue Reading....

Kumekucha Kombe la Kagame, Azam FC Yaanza Vizuri

Posted on: July 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Azam FC, Kombe la Kagame
Kumekucha Kombe la Kagame, Azam FC Yaanza Vizuri

MICHUANO ya Kombe la Kagame inayoendelea kutimua vumbi katika viwanja viwili vya Taifa na Karume vilivyopo jijini Dar es salaam, itaendelea kesho kwa michezo miwili…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari