Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 157

Category: Michezo

Chris Brown Agoma Kufanya Kolabo na Keyshia Cole

Posted on: December 18, 2015December 18, 2015 - Yohana Chance
Chris Brown Agoma Kufanya Kolabo na Keyshia Cole

Keyshia Cole amezidi kuweka wazi kuhusu maisha yake binafsi kutokana na uhusiano wake kuyumba huku mama yake mzazi na dada wakimlalamikia baada ya kupeana talaka…

Continue Reading....

Mourinho Afukuzwa Chelsea, Pep Guardiola Apigiwa Upatu

Posted on: December 18, 2015December 18, 2015 - Yohana Chance
Mourinho Afukuzwa Chelsea, Pep Guardiola Apigiwa Upatu

Kocha wa klabu ya Chelsea ya Uingereza Jose Mourinho amefutwa kazi baada ya klabu hiyo kuandikisha msururu wa matokeo mabaya tangu atue darajani. The Blues…

Continue Reading....

River Plate Yatinga Nusu Fainali Kombe la Dunia la Vilabu

Posted on: December 17, 2015December 17, 2015 - Yohana Chance
River Plate Yatinga Nusu Fainali Kombe la Dunia la Vilabu

Timu ya River Plate, imekua timu ya kwanza kutinga hatua ya fainali ya michuano ya kombe la dunia la vilabu. Miamba wa Argentina waliibuka kidedea…

Continue Reading....

TFF, TRA Wavutana, Mkutano Mkuu Wapigwa Kalenda

Posted on: December 17, 2015 - Yohana Chance
TFF, TRA Wavutana, Mkutano Mkuu Wapigwa Kalenda

Mkutano Mkuu wa kawaida wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) uliokuwa ufanyike Tanga ikiwamo shughuli ya uwekaji jiwe la msingi kwenye kiwanja cha TFF…

Continue Reading....

Kikosi Bora EUFA Neymar, Messi, Suarezi Hawapo

Posted on: December 16, 2015 - Yohana Chance
Kikosi Bora EUFA Neymar, Messi, Suarezi Hawapo

Timu za Ligi Kuu ya Uingereza zimefanikiwa kutoa wachezaji wawili, sawa na ligi ya Ujerumani na ile ya Ufaransa katika Kikosi bora cha wachezaji kumi…

Continue Reading....

Wapuliza Kipyenga Michano ya EURO Hadharani

Posted on: December 16, 2015 - Yohana Chance
Wapuliza Kipyenga Michano ya EURO Hadharani

Kamati ya Marefa ya shirikisho la soka barani ulaya UEFA imeteua waamuzi 18 kwa ajili ya michuano ya ulaya itakayofanyika huko nchi Ufaransa mwaka 2016.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari