Klabu ya Arsenal kwa sasa wanaiwinda kwa hali na mali saini ya mchezaji wa zamani wa timu ya Manchester United na Real Madrid Javier Hernandez…
Continue Reading....Category: Michezo
Simba Yabanwa na Mwadui Shinyanga
Ligi kuu Tanzania bara iliendelea tena jana kwa michezo kadhaa kupigwa kwenye viwanja tofauti na kushuhudia matokeo tofauti katika viwanja hivyo kwa baadhi ya timu…
Continue Reading....Mashali Avunja Uteja Kwa Francis Cheka
Bondia maarufu nchini Tanzania Thomas Mashali amefanikiwa kumpiga kwa pointi bondia Francis Cheka kwenye pambano la raundi 10 lililopigwa usiku wa Christmas kwenye uwanja wa…
Continue Reading....Manchester City, Liverpool Zachinja, Asernal, Man United Zachapwa
Klabu ya Liverpool wameipunguza kasi ya Leicester kileleni mwa Ligi ya Uingereza baada ya kuwalaza 1-0 uwanjani wao wa Anfield, Leicester walikuwa wameenda mechi tisa…
Continue Reading....Cheka, Mashali Kuzichapa Leo Morogoro
Mabondia Francis cheka na Thomas Mashali ,leo watakuwa wakipigana katika pambano lisilo la ubingwa litakalo fanyika katika uwanja wa jamhuri mjini Morogoro pambano ambalo ni…
Continue Reading....Rooney Awasisitiza Wachezaji Kuokoa Kibarua cha van Gaal
Nahodha wa Manchester United Wayne Rooney amewasisitiza Wachezaji wenzake kucheza kwa juhudi ili kuokoa na kibarua cha Meneja wao Louis van Gaal. Hii ni Kufuatia…
Continue Reading....