Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 133

Category: Michezo

Patachimbika Leo Ndani ya Dimba la Emirate, Usikose Arsenal vs Chelsea

Posted on: January 24, 2016January 24, 2016 - Yohana Chance
Patachimbika Leo Ndani ya Dimba la Emirate, Usikose Arsenal vs Chelsea

Baada ya kushuhudia mitanange kadhaa siku ya jana ya ligi kuu ya Uingereza kipute hicho kinaendelea tena leo katika uwanja wa Emirate unaomilikiwa na Klabu…

Continue Reading....

Simba Sc Yashinda Morogoro, Leo Zamu ya Yanga Mwanza

Posted on: January 24, 2016 - Yohana Chance
Simba Sc Yashinda Morogoro, Leo Zamu ya Yanga Mwanza

Timu ya Wekundu wa Msimbazi Simba Sc wameunguruma Mkoani Morogoro kwa kuitungua timu ya Burkina Faso kwa bao 3-0 kwenye mchezo wa Azam Sports Federation…

Continue Reading....

Liverpool Yatokwa Jasho Lakini Yaibuka na Ushindi wa Mabao 5

Posted on: January 24, 2016 - Yohana Chance
Liverpool Yatokwa Jasho Lakini Yaibuka na Ushindi wa Mabao 5

Adam Lallana alifunga bao la dakika za lala salama na kuiwezesha Liverpool kuishinda Norwich City 5-4 katika mechi iliojaa mashambulizi msimu huu. Robert Firmino aliiweka…

Continue Reading....

Mashabiki Wa Manchester United Wawazomea Wachezaji Baada ya Kichapo cha Southampton

Posted on: January 24, 2016January 24, 2016 - Yohana Chance
Mashabiki Wa Manchester United Wawazomea Wachezaji Baada ya Kichapo cha Southampton

Klabu ya Manchester United imeshindwa kutamba kwenye uwanja wake wa nyumbani baada ya kujikuta ikigaragazwa kwa bao 1-0 dhidi ya Southampton kwenye mchezo wa ligi…

Continue Reading....

Uganda Yaambulia Pointi Moja Michuano ya CHAN

Posted on: January 24, 2016 - Yohana Chance
Uganda Yaambulia Pointi Moja Michuano ya CHAN

Mali imepata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Zimbabwe katika kundi lao mechi iliyochezwa mjini Rubavu. Goli hilo lilipatikana kunako dakika ya 82 na kufungwa…

Continue Reading....

Hizi ndizo Sababu za Kujiuzuru Katibu Mkuu Wa Yanga

Posted on: January 24, 2016 - Yohana Chance
Hizi ndizo Sababu za Kujiuzuru Katibu Mkuu Wa Yanga

KATIBU Mkuu wa Yanga SC, Dk. Jonas Tiboroha amejiuzulu na tayari amewasilisha barua kwa Mwenyekiti, Yussuf Mehboob Manji. Tiboroha asema kwamba amechukua uamuzi huo ilia…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari