Moise Katumbi Chapwe, Rais wa klabu ya TP Mazembe ya DRC amekubali mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ajiunge na KRC Genk ya…
Continue Reading....Category: Michezo
Pierre Aubameyanga Amtolea Uvivu Yaya Toure
Nyota wa Afrika Pierre Emerick Aubameyang amesema kuwa alihisi uchungu baada ya Yaya Toure kusema kwamba ‘sio heshima’ kwa yeye kutunukiwa tuzo ya mchezaji bora…
Continue Reading....Guinea, Cameroon Zatinga Mbele Michuano ya CHAN
Timu ya Super Eagles ya Nigeria imeondolewa kutoka kwenye mashindano ya kuwania kombe la taifa bingwa la Afrika CHAN Kwa wachezaji wanaoshiriki katika ligi za…
Continue Reading....TFF Waandaa Kozi ya Ukocha Kwa Wanawake
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Mwesigwa Selestine jana amefungua kozi ya ngazi ya juu ya ukocha kwa wanawake (High Level…
Continue Reading....TFF Yatuma Salamu za Rambirambi kwa Kocha Mingange
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetuma salamu za rambirambi kwa Kocha Mkuu wa klabu ya Mbeya City inayoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom, Meja…
Continue Reading....Van Gaal Asema Walistahili Zomea Zomea Kutoka Kwa Mashabiki Wao
Van Gaal amekiri kuwa walistahili zomea zomea ya mashabiki kufuatia msururu wa matokeo mabya ambayo mwishoni mwa wiki ilikula kichapo cha bao moja kwa nunge…
Continue Reading....