Aliyekuwa beki matata na nahodha wa kilabu ya Manchester United Nemanja Vidic ametangaza kustaafu katika soka ya kulipwa. Raia huyo wa Serbia ambaye alishinda mechi…
Continue Reading....Category: Michezo
Breaking News: Samatta Asaini KRC Genk Mkataba wa Miaka Mitano
NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta tayari ametambulishwa rasmi na ameshakabidhiwa jezi na klabu ya Genk ya nchini Ubelgiji kwa ajili ya kuanza majumu mapya…
Continue Reading....Manchester United Kuikabili Derby Country FA Cup
Klabu ya soka ya Manchester United, watajitupa ugenini katika dimba la iPro kuwakabili Derby County, katika hatua ya nne ya kombe la FA. Man United…
Continue Reading....Manchester City Yapata Pigo, Bruyne nje Wiki Sita
Kiungo wa Manchester City, Kevin de Bruyne, atakua nje ya dimba kwa muda wa wiki sita baada ya kuumia goti siku ya Jumatano. De Bruyne…
Continue Reading....Suarez, Pique na Neymer Waipeleka Barcelona Nusu Fainali
Mabingwa watetezi wa kombe la Mfalme Barcelona wamesonga mbele kwenye hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo. Barcelona waliwachapa Athletic Bilbao kwa mabao 3-1 kwa…
Continue Reading....Manchester City Waifuata Liverpool Wembley Fainali ya Capital One
Man City imekua timu ya pili kufuzu fainali ya mchezo wa kombe la Capital baada ya kuichapa Everton kwa mabao 3-1. Everton ndio walikua wa…
Continue Reading....