Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 128

Category: Michezo

Simba Waanza Kuzisaka Fedha Za Samatta Kwa TP Mazembe

Posted on: January 30, 2016January 30, 2016 - Yohana Chance
Simba Waanza Kuzisaka Fedha Za  Samatta Kwa TP Mazembe

MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe amesema kwamba wanasubiri mgawo wao wa Euro 160,000 kutoka klabu ya TP Mazembe ya…

Continue Reading....

Usajili uliokamilika hadi dakika Hii, na Zilizogonga Mwamba Soma Hapa

Posted on: January 30, 2016 - Yohana Chance
Usajili uliokamilika hadi dakika Hii, na Zilizogonga Mwamba Soma Hapa

Gazeti la The Times limewashtua watu kwa kuandika taarifa zinazo ihusisha Liverpool na mchezaji wa zamani wa Manchester United Javier Hernandez ‘Chicharito’. Ripoti zinasema kwamba,…

Continue Reading....

Van Gaal Aongeza Matumaini ya Kubaki Manchester United, Baada ya Ushindi

Posted on: January 30, 2016 - Yohana Chance
Van Gaal Aongeza Matumaini ya Kubaki Manchester United, Baada ya Ushindi

Manchester United wamempunguzia shinikizo la kujiuzuru meneja wao Louis van Gaal kwa kulaza klabu ya Derby 3-1 katika raundi ya nne ya Kombe la FA.…

Continue Reading....

Mwenyekiti Wa Chama Cha Soka Uingereza Atangaza Kujiuzuru

Posted on: January 30, 2016 - Yohana Chance
Mwenyekiti Wa Chama Cha Soka Uingereza Atangaza Kujiuzuru

Mwenyekiti wa chama cha soka cha England FA Greg Dyke atajiengua kwenye wadhifa huo mwezi june,mwaka huu baada ya muda wake kumalizika. Kwa mujibu wake…

Continue Reading....

Kikosi Cha Matola Kutafuta Vitani Kusaka Pointi Tatu za Kuelekea Ligi Kuu

Posted on: January 30, 2016 - Yohana Chance
Kikosi Cha Matola Kutafuta Vitani Kusaka Pointi Tatu za Kuelekea Ligi Kuu

Vita ya kuwania kupanda daraja msimu ujao itaendelea wikiendi hii kwa michezo 12 ya Ligi daraja la kwanza nchini (Startimes League) kuchezwa katika viwanja mbalimbali…

Continue Reading....

Michezo Saba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Kupigwa

Posted on: January 30, 2016 - Yohana Chance
Michezo Saba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Kupigwa

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo saba kuchezwa katika viwanja tofauti, ikiwa katika mzunguko wa 16 kwa kila timu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari