Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 127

Category: Michezo

KRC Genk Yapiga Mtu Samatta Akishuhudia

Posted on: February 1, 2016February 1, 2016 - Yohana Chance
KRC Genk Yapiga Mtu Samatta Akishuhudia

Siku chache baada ya klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji imsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania aliyekuwa anaichezea klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya…

Continue Reading....

Kwa Barcelona Hii Mbona Mtakoma Mwaka Huu

Posted on: January 30, 2016 - Yohana Chance
Kwa Barcelona Hii Mbona Mtakoma Mwaka Huu

Barcelona wameshida kwa bao 2-1 mechi yao ya ligi dhidi ya Atletico Madrid na kuzifanya mbio za kuwania ubingwa wa La Liga kupamba moto nchini…

Continue Reading....

Azam yagawa Kichapo kwa Timu ya Chikeck

Posted on: January 30, 2016 - Yohana Chance
Azam yagawa Kichapo kwa Timu ya Chikeck

AZAM FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Chikeck Inn ya Zimbabwe katika mchezo wa michuano maalum ya kirafiki mchana wa leo Uwanja…

Continue Reading....

Yanga Yakiona Cha Moto Mkwakwani Tanga

Posted on: January 30, 2016 - Yohana Chance
Yanga Yakiona Cha Moto Mkwakwani Tanga

Klabu ya Yanga leo imeonja joto ya jiwe kwenye ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu huu baada ya kujikuta ikitepeta mbele ya Coastal Union…

Continue Reading....

Simba Yaifanyanyia Kitu Mbaya African Sport Uwanja Wa Taifa

Posted on: January 30, 2016 - Yohana Chance
Simba Yaifanyanyia Kitu Mbaya African Sport Uwanja Wa Taifa

Klabu ya Simba imeendelea kuzikimbiza Yanga na Azam katika mbio za kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu huu baada ya kufanikiwa…

Continue Reading....

Rwanda Watupwa Nje na Congo Michuano ya CHAN

Posted on: January 30, 2016 - Yohana Chance
Rwanda Watupwa Nje na Congo Michuano ya CHAN

Timu ya Congo imefanikiwa kusonga mbele kwenye michuano ya CHAN baada ya kupata goli lake kunako dakika ya 11 kupitia mchezaji wa kiungo Doxa Gikanji…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari