Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 126

Category: Michezo

Simba Wapo Kifedha Zaidi, Wafungua Duka La Kisasa Jijini Dar Es Salaam

Posted on: February 1, 2016 - Yohana Chance
Simba Wapo Kifedha Zaidi, Wafungua Duka La Kisasa Jijini Dar Es Salaam

Klabu ya Simba SC leo imeamua kufanya kweli baada ya kuzungumza mambo mengi ambayo mwisho wa siku yalikuwa yamebaki kwenye makaratasi. Klabu hiyo leo wamezundua…

Continue Reading....

Chelsea Yakabidhiwa Manchester City 16 bora FA Cup

Posted on: February 1, 2016 - Yohana Chance
Chelsea Yakabidhiwa Manchester City 16 bora FA Cup

TIMU ya Chelsea imepangwa kumenyana na Manchester City katika Raundi ya Tano ya Kombe la FA Cup baada ya kuitoa MK Dons. Manchester United wamepangiwa…

Continue Reading....

Wahamiaji Ugiriki Wasababisha Wachezaji Kugoma Kucheza

Posted on: February 1, 2016 - Yohana Chance
Wahamiaji Ugiriki Wasababisha Wachezaji Kugoma Kucheza

wachezaji wa timu mbili hasimu nchini Ugiriki wamesusia mechi wakipinga ongezeko la vifo vya wahamiaji wanaozama wakijaribu kuingia nchioni humo kukwepa vita Syria na Iraq.…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Majaliwa Awataka Wafungue Spoti Academy

Posted on: February 1, 2016February 1, 2016 - Yohana Chance
Waziri Mkuu Majaliwa Awataka Wafungue Spoti Academy

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wafungue shule za michezo yaani Sports Academy ambazo zitalenga kukusanya wahitimu wa shule za msingi na sekondari na kuwafundisha…

Continue Reading....

Yondani Akiri Kulikoroga Mkwakwani, Aomba Radhi Kwa Mashabiki

Posted on: February 1, 2016 - Yohana Chance
Yondani Akiri Kulikoroga Mkwakwani, Aomba Radhi Kwa Mashabiki

BEKI wa Yanga SC, Kevin Yondan amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo baada ya juzi kutolewa kwa kadi nyekundu, timu yake ikilala 2-0 mbele ya…

Continue Reading....

Mgambo Shooting Yashikwa Mkwakwani na Ndanda FC

Posted on: February 1, 2016 - Yohana Chance
Mgambo Shooting Yashikwa Mkwakwani na Ndanda FC

MGAMBO Shooting imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Ndanda FC ya Mtwara katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya jana…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari