Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 123

Category: Michezo

Geita Gold SC, JKT Oljoro Mchezo wa Kufa Mtu Leo FDL

Posted on: February 6, 2016 - Yohana Chance
Geita Gold SC, JKT Oljoro Mchezo wa Kufa Mtu Leo FDL

Ligi Daraja la Kwanza nchini (FDL) raundi ya 13 inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa timu 24 [kucheza michezo 12 katika viwanja tofauti, huku kundi A…

Continue Reading....

TFF: Ole Wao Wanaovurunda Ligi Kwa Kupanga Matokeo Chumbani

Posted on: February 6, 2016February 6, 2016 - Yohana Chance
TFF: Ole Wao Wanaovurunda Ligi Kwa Kupanga Matokeo Chumbani

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limewaonya viongozi wa vilabu, wachezaji, waamuzi na wasimamizi wa mchezo kutojihusisha na upangaji wa matokeo (Match fixing) katika…

Continue Reading....

Tanzania Yapanda Nafasi Moja Viwango Vya FIFA, Ubelgiji Kinara Wadunia

Posted on: February 5, 2016 - Yohana Chance
Tanzania Yapanda Nafasi Moja Viwango Vya FIFA, Ubelgiji Kinara Wadunia

Ubelgiji imeendelea kukaa katika nafasi ya kwanza kwenye viwango vya ubora vya FIFA kwa muhjibu wa viwango viliyotolewa Alhamisi. Katika kumi Bora imebaki vile vile…

Continue Reading....

Ivory Coast Yaambulia Kichapo, Mali Yatinga Fainali Michano ya CHAN

Posted on: February 4, 2016 - Yohana Chance
Ivory Coast Yaambulia Kichapo, Mali Yatinga Fainali Michano ya CHAN

Mali imejikatia tikiti ya kushiriki fainali ya mchuano wa kuwania ubingwa wa Afrika miongoni mwa wachezaji wanaoshiriki ligi za nyumbani CHAN dhidi ya Congo DR…

Continue Reading....

Kwa Mwendo Huu wa Barcelona Wengi Watalia Mwaka Huu

Posted on: February 4, 2016 - Yohana Chance
Kwa Mwendo Huu wa Barcelona Wengi Watalia Mwaka Huu

Klabu ya Valencia chini ya nyota wa zamani wa Manchester United Gary Neville ilipokezwa kichapo cha mwaka na klabu ya Barcelona katika nusufainali ya michuano…

Continue Reading....

Guinea Yatupwa Nje CHAN,DR Congo Yatinga Fainali

Posted on: February 3, 2016 - Yohana Chance
Guinea Yatupwa Nje CHAN,DR Congo Yatinga Fainali

Jamhuri ya Demokrasia ya Congo imefuzu kwa fainali ya mchuano wa CHAN. Jamhuri ya Demokrasia ya Congo ilijikatia tikiti ya fainali baada ya kuilaza Guinea…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari