Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 120

Category: Michezo

Hofu Yatanda Barcelona Baada ya Messi Kukutwa na Tatizo la Figo

Posted on: February 9, 2016 - Yohana Chance
Hofu Yatanda Barcelona Baada ya Messi Kukutwa na Tatizo la Figo

Mshambuliaji wa kilabu ya Barcelona Lionel Messi alikosa mazoezi siku ya jana Jumatatu ili kupimwa figo yake. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Argentina alikosa kucheza…

Continue Reading....

Zouma Hataonekana Dimbani tena Hadi Msimu Ujao

Posted on: February 9, 2016 - Yohana Chance
Zouma Hataonekana Dimbani tena Hadi Msimu Ujao

Beki wa klabu ya Chelsea Kurt Zouma atakua nje ya uwanja kwa miezi sita baada ya kuumia goti kwenye mchezo dhidi ya Manchester United. Zouma,…

Continue Reading....

Kamusoko Ampiku Tambwe, Baada ya Kutangazwa Kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi

Posted on: February 9, 2016 - Yohana Chance
Kamusoko Ampiku Tambwe, Baada ya Kutangazwa Kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi

Mchezaji Thaban Kamusoko amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Disemba, 2015 baada ya kumshinda mchezaji mwenzake wa Yanga (Amissi Tambwe).…

Continue Reading....

Yanga Kutimuka Kesho Kwenda Kuivaa Cercle De Joachim

Posted on: February 9, 2016 - Yohana Chance
Yanga Kutimuka Kesho Kwenda Kuivaa Cercle De Joachim

Kikosi cha Yanga SC kitaanza safari ya kuelekea Mauritius kesho (Jumatano) alfajiri kwenda kukipiga mchezo wa awali wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Cercle De…

Continue Reading....

DR Congo Wapokelewa Zaidi ya Mfalme, Baada ya Kutwaa Ndoo

Posted on: February 8, 2016 - Yohana Chance
DR Congo Wapokelewa Zaidi ya Mfalme, Baada ya Kutwaa Ndoo

Wachezaji wa timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamelakiwa kwa shangwe na nderemo katika mji mkuu wa nchi hiyo Kinshasa. Hii ni…

Continue Reading....

DR Congo Watwaa Ubingwa wa CHAN 2016 Nchini Rwanda

Posted on: February 7, 2016 - Yohana Chance
DR Congo Watwaa Ubingwa wa CHAN 2016 Nchini Rwanda

JAMHURI ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ndiyo mabingwa wa Michuano ya Ubingwa wa Mataifa (CHAN), inayohusisha wachezaji wanaocheza ligi za nchini mwao pekee. Hiyo inafuatia…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari