Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 115

Category: Michezo

Yanga Kutua Dar es Salaam Leo, Tambo Kibao za Kumuua Mnyama

Posted on: February 19, 2016February 19, 2016 - Yohana Chance
Yanga Kutua Dar es Salaam Leo, Tambo Kibao za Kumuua Mnyama

Kocha Mkuu wa Simba, Jackson Mayanja ameamua kikosi chake kuwa kinapata dozi moja tu kwa siku. Uamuzi huo wa Mayanja ni wakati wa maandalizi ya…

Continue Reading....

Duu Simba Nouma Wazifuata Fedha zao TP Mazembe Kwa Kumuuza Samatta

Posted on: February 19, 2016 - Yohana Chance
Duu Simba Nouma Wazifuata Fedha zao TP Mazembe Kwa Kumuuza Samatta

MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe yupo Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) tangu jana kuchukua mgawo wao wa…

Continue Reading....

Cannavaro Hatihati Kumkosa Mnyama Simba Kesho

Posted on: February 19, 2016February 19, 2016 - Yohana Chance
Cannavaro Hatihati Kumkosa Mnyama Simba Kesho

NAHODHA wa Yanga SC, Nadir Haroub Ali ‘Cannavaro’ hayuko tayari kwa mchezo dhidi ya mahasimu, Simba SC Jumamosi, baada ya kushindwa kuendelea na mazoezi kutokana…

Continue Reading....

Coastal Union Watua Shinyanga Waifuata Mwadui ya Julio

Posted on: February 19, 2016 - Yohana Chance
Coastal Union Watua Shinyanga Waifuata Mwadui ya Julio

Mabingwa wa zamani wa Mpira wa Miguu Tanzania bara, Coastal Union ya Tanga imeondoka Tanga jana Alhamis kuelekea mkoani Shinyanga kucheza na timu ya Mwadui…

Continue Reading....

Manchester United Yachapwa EUROPA ligi, Pata Mtokeo Kamili

Posted on: February 19, 2016 - Yohana Chance
Manchester United Yachapwa EUROPA ligi, Pata Mtokeo Kamili

Michuano ya kombe la Europa ligi ilianza kutimua vumbi kwa viwanja kumi na mbili kuwaka moto.Man United wakicheza ugenini huko nchin Dernmark wamechapwa kwa mabao…

Continue Reading....

Baada ya Wanyama Sasa zamu ya Olunga Kutua Majuu

Posted on: February 19, 2016 - Yohana Chance
Baada ya Wanyama Sasa zamu ya Olunga Kutua Majuu

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars Michael Olunga ambaye alitoa ombi kwa kilabu ya Arsenal kumsajili mwaka uliopita amejiunga na kilabu ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari