Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 112

Category: Michezo

Moyes Atoa Onyo Kali Kwa Uongozi wa Manchester United Juu ya Van Gaal

Posted on: February 22, 2016 - Yohana Chance
Moyes Atoa Onyo Kali Kwa Uongozi wa Manchester United Juu ya Van Gaal

Baada ya kuzuka manenop Mengi juu ya Kocha Mkuu wa Klabu ya Manchester United Luis Van Gaal kwa Kubolonga,Meneja wa zamani wa Manchester United David…

Continue Reading....

Chelsea Yaifanyia Kitu Mbaya Manchester City Darajani

Posted on: February 22, 2016 - Yohana Chance
Chelsea Yaifanyia Kitu Mbaya Manchester City Darajani

Timu ya Chelsea ya Uingereza imetinga hatua ya robo fainali katika mashindani ya Emirates FA Cup baaada ya kuilaza timu ya Manchester City Mabao 5-1…

Continue Reading....

Ronaldo Akosa Penati Huku Madrid Ikikabwa Koo na Malaga

Posted on: February 22, 2016 - Yohana Chance
Ronaldo Akosa Penati Huku Madrid Ikikabwa Koo na Malaga

Madrid imekabwa koo na timu ya Malaga kufuatia sare ya 1-1 katika mchezo uliopigwa jana na kupelekea kuwa pointi 9 nyuma ya mahasimu wao Barcelona…

Continue Reading....

Suarez, Neymar Waipaisha Barcelona Ikishinda 2-1 Ikiilaza Las Palmas

Posted on: February 20, 2016February 20, 2016 - Yohana Chance
Suarez, Neymar Waipaisha Barcelona Ikishinda 2-1 Ikiilaza Las Palmas

Barcelona wameendeleza rekodi yao ya kutopoteza mchezo kwenye ligi ya Hispania La Liga baada ya kuichapa Las Palmas kwa bao 2-1 na kuendelea kukaa kileleni…

Continue Reading....

Mchezaji wa Uganda Amfuata Samatta Ubelgiji

Posted on: February 20, 2016 - Yohana Chance
Mchezaji wa Uganda Amfuata Samatta Ubelgiji

Mchezaji nyota wa timu ya taifa ya Uganda Farouk Miya amejiunga na klabu ya Standard de Liège inayocheza ligi kuu ya Ubelgiji. Klabu hiyo kwa…

Continue Reading....

Kocha Wa Manchester City Aanza Kuota Ubingwa

Posted on: February 20, 2016 - Yohana Chance
Kocha Wa Manchester City Aanza Kuota Ubingwa

Manchester City imesema kuwa italipatia kipau mbele kombe la vilabu bingwa Ulaya badala ya mechi ya raundi ya tano ya FA dhidi ya Chelsea leo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari