Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 108

Category: Michezo

Arsenal Kumkosa Chamberlain Kesho Watakapoivaa Man United

Posted on: February 27, 2016 - Yohana Chance
Arsenal Kumkosa Chamberlain Kesho Watakapoivaa Man United

Kiungo wa kati wa kilabu ya Arsenal Alex Oxlade Chamberlain hatocheza kwa wiki kadhaa kutokana na jeraha la goti ,mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger amesema.…

Continue Reading....

Ligi Daraja La Pili Kuendelea Leo, Pata Msimamo Hapa

Posted on: February 27, 2016 - Yohana Chance
Ligi Daraja La Pili Kuendelea Leo, Pata Msimamo Hapa

Ligi Daraja la Pili (SDL) inatarajiwa kumalizika wikiendi hii kwa michezo 12 kuchezwa katika makundi ya A, B, C & D katika viwanja mbalimbali nchini,…

Continue Reading....

Infantino ni Rais Mpya wa FIFA Akimrith Blatter Kwa Kupata Kura Nyingi

Posted on: February 27, 2016 - Yohana Chance
Infantino ni Rais Mpya wa FIFA Akimrith Blatter Kwa Kupata Kura Nyingi

Raia wa Switzerland Gianni Infantino amechukua mahala pake Sepp Blatter kama rais wa shirikisho la soka duniani Fifa. katibu huyo mkuu wa Fifa alipata kura…

Continue Reading....

Ratiba Ligi Kuu Uingereza Arsenal na Manchester United Jumapili Hii

Posted on: February 27, 2016 - Yohana Chance
Ratiba Ligi Kuu Uingereza Arsenal na Manchester United Jumapili Hii

Ligi kuu ya Soka la England inatarajia kuendelea tena Wikiendi hii baada ya kupisha michuano ya FA CUP ambapo leo Jumamosi kutakuwa na michezo sita.…

Continue Reading....

Van Gaal Apania Kuisambaratisha Liverpool EUROPA Ligi

Posted on: February 27, 2016 - Yohana Chance
Van Gaal Apania Kuisambaratisha Liverpool EUROPA Ligi

Manchester United watakutana na mahasimu wao wa jadi Liverpool katika hatua ya 16 bora katika Europa Ligi. Tottenham wamepewa miamba wa ligi y Ujerumani Borussia…

Continue Reading....

Mmoja Ajiondoa Uchaguzi Mkuu FIFA

Posted on: February 26, 2016 - Yohana Chance
Mmoja Ajiondoa Uchaguzi Mkuu FIFA

Mgombea wa urais wa Fifa kutoka Afrika Tokyo Sexwale kutoka Afrika Kusini amejiondoa kutoka kwenye uchaguzi wa kuchagua mrithi wa Sepp Blatter. Bw Sexwale, akihutubu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari