Mkutano Mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) uliokuwa ufanyike mwezi Disemba mwaka jana sasa utafanyika wikiendi hii Jumamosi na Jumapili…
Continue Reading....Category: Michezo
Mtanzania Alphonce Felix Ashika Nafasi ya tatu Lake Biwa Marathoni Japan.
Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Felix akisalimiana na mdau wa riadha ,Whileam Gidabuday aliporejea nchini akitokea nchini Japan kushiriki mashindano ya marathoni yajulikanayo kama Lake Biwa…
Continue Reading....Watanzania Wahimizwa Kuthamini Miundombinu ya Michezo
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akisalimiana na Meneja wa Uwanja wa Taifa Rish Urio (kulia) walipokutana katika ziara…
Continue Reading....Yanga Mwendo Mdundo VPL Yachinja Mtu Taifa 5-0
Habari na bioplus.blogspot.com MABINGWA wa soka Tanzania bara, Yanga leo wamefanikiwa kurejea kileleni mwa ligi kuu ya Vodacom na kuwashusha mahasimu wao Simba hadi nafasi…
Continue Reading....Mkwasa Ataja Majembe Yake Yatakayoivaa Timu ya Chad
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premieum Lager, Charles Boniface Mkwasa leo ametangza kikosi cha wa…
Continue Reading....Twiga Stars Wajazwa Manoti Wakawafunge Wazimbabwe
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetimiza ahadi yake ya kuwapa motisha wachezaji wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu wanawake…
Continue Reading....