RAIS wa Marekani Barack Obama aliyechaguliwa tena kwa muhula wa pili baada ya kumshinda mpinzani wake wa chama cha Republican, Mitt Romney amesema yupo tayari…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Mawaziri Wajadili Sheria Itakayoruhusu Mashoga Kuoana na Kupata Watoto Ufaransa
MIPANGO ya sheria mpya itakayowaruhusu wapenzi wa jinsia moja nchini Ufaransa kuoana na kupata watoto inajadiliwa katika mkutano muhimu wa baraza la mawaziri la Rais…
Continue Reading....Obama Ashinda Uchaguzi Marekani
MGOMBEA wa Urais wa Marekani kutoka chama cha Democratic, Barack Obama tayari ameshinda uchaguzi huo. Taarifa ambazo mtandao huu umezipata kutoka vyanzo vyake nchini Marekani…
Continue Reading....Matokeo ya Awali ya Uchaguzi Marekani Yaanza Kutolewa
MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu wa nafasi ya urais nchini Marekani yameanza kutolewa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Licha ya ushindani huo kuwa mkali hadi sasa…
Continue Reading....Uchaguzi Marekani; Wananchi wa Marekani Kuamua Leo, Je ni Obama au Romney
LEO ni siku muhimu kwa Wamarekani kwani wapiga kura wa Marekani wanatarajia kuhitimisha zoezi la upigaji kura katika majimbo yote ili kumpata mshindi katika uchaguzi…
Continue Reading....Kanisa la Polisi lashambuliwa Kenya, Sudan Kusini Yamtimua Ofisa wa UN
POLISI nchini Kenya wamesema watu wapatao saba wamejeruhiwa kwenye shambulio la guruneti dhidi ya Kanisa katika Mji wa Garissa. Shirika la Msalaba Mwekundu la Kenya…
Continue Reading....