Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 98

Category: Habari za Kimataifa

Kenya Yazinduwa Treni ya Kisasa Kusafirisha Abiria

Posted on: November 14, 2012 - jomushi
Kenya Yazinduwa Treni ya Kisasa Kusafirisha Abiria

SHIRIKA la Reli nchini Kenya limepiga hatua ya maendeleo kwa usafiri wa treni nchini humo baada ya kuzindua treni mpya ya kisasa ambayo ina mwendo…

Continue Reading....

Askari Polisi 40 Wauawa na Wezi wa Mifugo Kenya

Posted on: November 13, 2012 - jomushi
Askari Polisi 40 Wauawa na Wezi wa Mifugo Kenya

INAKADIRIWA kuwa askari polisi 40 wamethibitishwa kuuawa nchini Kenya katika shambulizi lililofanywa dhidi yao walipokuwa wanajaribu kuokoa mifugo waliokuwa wameibwa. Taarifa zaidi zinasema maofisa hao…

Continue Reading....

Mkurugenzi Mkuu wa BBC Ajiuzulu

Posted on: November 11, 2012 - jomushi
Mkurugenzi Mkuu wa BBC Ajiuzulu

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Habari, BBC, George Entwistle amejiuzulu wadhifa huo. George Entwistle amejiuzulu kama Mkurugenzi BBC kwa kile kufanyika makosa katika moja ya…

Continue Reading....

Mkuu wa Shirika la Upelelezi la Marekani (CIA) Ajiuzulu

Posted on: November 10, 2012 - jomushi
Mkuu wa Shirika la Upelelezi la Marekani (CIA) Ajiuzulu

MKURUGENZI wa Shirika la Upelelezi la Marekani CIA, David Patreaus amejiuzulu kutokana na kuwa na mahusiano ya nje ya ndoa ambayo yamezua hali isiyofaa kwake…

Continue Reading....

Kanisa la Anglikana Lapata Askofu Mkuu Ulimwenguni

Posted on: November 10, 2012 - jomushi
Kanisa la Anglikana Lapata Askofu Mkuu Ulimwenguni

KIONGOZI wa kiroho wa Kanisa la Anglikana, Justin Welby amesema ameshangazwa na nyadhifa aliyopewa ya Askofu Mkuu wa Kanisa Hilo Ulimwenguni ikiwa ni baada ya…

Continue Reading....

Waasi Watungua Ndege ya Jeshi Sudan

Posted on: November 9, 2012November 9, 2012 - jomushi
Waasi Watungua Ndege ya Jeshi Sudan

WAASI katika Jimbo la Kordofan Kusini, nchini Sudan wamesema kuwa wametungua ndege ya kijeshi karibu na mpaka wake na Sudan Kusini. Msemaji wa kundi la…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari