Rais wa Marekani Barack Obama ameahidi kuendelea kuunga mkono kwa dhati juhudi za kuleta mabadiliko nchini Burma. Katika ziara yake fupi ya kihistoria, Obama alikutana…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Majeshi ya Israel Yaendelea Kushambulia Gaza, Makao Makuu Hamas Yapigwa
ISRAEL imeshambulia maeneo ya wapiganaji katika ukanda wa Gaza kwa siku ya tano (Novemba 18, 2012), wakishambulia kwa ndege na jeshi la majini wakati jeshi…
Continue Reading....Kamanda wa Boko Haram Auawa Nigeria
WANAJESHI wa Nigeria wanaendeleza operesheni kali ya kuwasaka wapiganaji wa Boko Haram katika eneo la Maiduguri Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo. Wanajeshi hao wanatumia magari…
Continue Reading....Waziri Mkuu wa Misri Aitembelea Gaza, Wapalestin Waomba UN Iingilie
WAZIRI Mkuu wa Misri Hisham Kandil ameutembelea Ukanda wa Gaza na kuahidi kuwasaidia Wapalestina kurejesha utulivu kwa kusitisha mashambulizi ya Israel ambayo yameendelea licha ya…
Continue Reading....Mapigano Mapya Yazuka Congo
MAPIGANO mapya yamezuka Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kati ya wanajeshi wanaoungwa mkono na Umoja wa Mataifa na waasi wa M23,na kuwalazimisha watu…
Continue Reading....Israel Yasema Itajilinda Kivyovyote Dhidi ya Mashambulizi ya Gaza
WAKATI mzozo kati ya Hamas na Israel ukizidi kufukuta ukanda wa Gaza, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema nchi yake itachukua kila hatua…
Continue Reading....