MKUU WA MAJESHI nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, amesimamishwa kazi huku uchunguzi ukiendelea kufuatia madai kuwa aliwauzia silaha makundi ya waasi yanaopambana na serikali…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Jaribio la mapinduzi yatibuliwa Sudan
Watu kadhaa wamekamatwa na serikali ya Sudan, wakiwemo mkurugenzi mkuu wa zamani wa idara ya ujasusi, Salah Gosh na maafisa kadhaa wa jeshi la nchi…
Continue Reading....Mke wa Gbagbo kufikishwa the Haque
MAHAKAMA ya kimataifa ya Jinai ICC, imetoa kibali cha kukamatwa kwa mke wa aliyekuwa rais wa Ivory Coast Laurent Gbagbo, Bi Simone, Gbagbo. Bi Gbagbo…
Continue Reading....JK Atuma Rambirambi kwa Rajani Group of Companies
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameitumia salamu za rambirambi familia ya Mwenyekiti wa Kundi la Makampuni la Rajani Group of…
Continue Reading....Kanisa la Anglikana Lateuwa Askofu wa Kwanza wa Kike
ELLINAH Wamukoya ameteuliwa kuwa Askofu wa Kwanza wa Kike wa Kanisa la Kianglikana barani Afrika. Akiongea muda mfupi baada ya kuteuliwa, Bi. Ellinah Wamukoya amesema…
Continue Reading....Waasi wa M23 Wauteka Mji wa Goma
WAPIGANAJI wa waasi wa M23, hatimaye wamefanikiwa kuingia mji mkuu wa eneo la Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, eneo lenye utajiri mkubwa wa…
Continue Reading....