Baadhi ya wapiganaji wa Mau Mau waliodhulumiwa na wakoloni wa Uingereza Stakabadhi za Serikali zilizotolewa huko Uingereza zinaonyesha kwa ukamilifu namna wafungwa wengi waliuawa wakati…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
TheHabari Yaomboleza Kifo cha Zig Ziglar
MTANDAO huu unaungana na wamarekani pamoja na wadau wengine duniani walioutambua na kuuthamini mchango wa gwiji la uhamasishaji hapa Marekani na duniani kwa ujumla, Mzee…
Continue Reading....Washukiwa wa ICC Kenya Kuunda Muungano
WASHUKIWA wawili wakuu wa ghasia za baada ya uchaguzi nchini Kenya, Uhuru Kenyatta na William Ruto wanajadiliana kwa lengo la kuunda muungano wa kisiasa watakaotumia…
Continue Reading....Riporti ya Nchi Maskini sana Duniani 2012 Ukweli wa Mambo na Takwimu
Ripoti ya Nchi Maskini Sana Duniani ya Mwaka 20121, yenye kichwa kidogo cha habari Kutumia Fedha Zinazotumwa na Raia Wanaoishi Nga’ambo na Weledi Wao Kujenga…
Continue Reading....Mwili wa Hayati Yasser Arafat Wafukuliwa
MWILI wa kiongozi wa zamani wa Palestina, Yasser Arafat, umefukuliwa kutoka kaburi lake liloko ukingo wa Magharibi mjini Rammala ili kuwawezesha kuufanyia uchunguzi kubaini iwapo…
Continue Reading....Rais Morsi Aahidi Demokrasia
Rais Mohamed Morsi amesisitiza Ijumaa (22.11.2012)kuwa Misri inaelekea katika “uhuru na demokrasia”,baada ya kujilimbikizia madaraka makubwa,hali ambayo imezusha mapambano kati ya wale wanaomuunga mkono na…
Continue Reading....