RAIS Mohamed Mursi leo Desemba 08, 2012 alitarajiwa kufanya mazungumzo juu ya kumaliza mzozo mbaya nchini Misri tangu achukue madaraka. Hata hivyo viongozi wakuu wa…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Jeshi Lawatimua Waandamanaji Misri
WANAJESHI nchini Misri wameanza kuwaondoa watu kutoka katika eneo la Ikulu ya rais mjini Cairo ambako kumekuwa na makabiliano makali kati ya wafuasi na wapinzani…
Continue Reading....Rushwa Yazorotesha Uchumi Duniani
RIPOTI ya mwaka huu ya Shirika la Kimataifa linalopambana na ufisadi duniani (Transparency Intenational) inaeleza kuwa rushwa imechochea kwa kiasi fulani mgogoro wa uchumi duniani,…
Continue Reading....Urais Kenya: Raila Aungana na Kalonzo
WAZIRI Mkuu wa Kenya, Raila Odinga kupitia chama chake cha ODM wametia saini makubaliano ya kuunda muungano wa kisiasa na Makamo wa Rais Kalonzo Musyoka…
Continue Reading....Rwanda Iliwasaidia Wafuasi wa M23 Kuuteka Mji wa Goma- UN
RIPOTI ya Umoja wa Mataifa (UN) iliyotolewa inasema wanajeshi kutoka Rwanda walihusika moja kwa moja na utekaji wa Mji wa Goma katika Jamhuri ya Kidemokrasia…
Continue Reading....Uingereza Yasitisha Msaada kwa Rwanda
Uingereza imesitisha kwa muda msaada iliyokuwa iipe Rwanda kwa sababu ya wasiwasi kuhusu kuhusika kwa nchi hiyo katika mzozo uliopo Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.…
Continue Reading....