RAIS wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, anayetibiwa kwa ugonjwa wa mapafu, anaendelea vyema na matibabu yake na kwamba hali yake imeimarika katika…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Kenya Waadhimisha Miaka 49 ya Uhuru
SIKU ya Jamhuri ni maadhimisho ya siku Kenya ilipotangazwa kuwa huru baada ya kutawaliwa na wakoloni waingereza waliokuwa wakiwakandamiza waafrika weusi katika taifa hilo la…
Continue Reading....Waziri Mkuu wa Mali Ajiuzulu
WAZIRI Mkuu wa Mali, Cheick Modibo Diarra amejiuzulu wadhifa wake saa chache baada ya kukamatwa na wanajeshi waliomkuta nyumbani kwake. Kujiuzulu huko kunaupeleka pabaya zaidi…
Continue Reading....Hali ya Taharuki Yatanda Misri
HALI ya usalama imeimarishwa nchini kote Misri huku Cairo ikijiandaa kwa maandamano mengine yanayowahusisha wafuasi na wapinzani wa katiba mpya iliyopitishwa na serikali ya Misri.…
Continue Reading....Jeshi la Sudan Kusini Lauwa Watu 10, Waasi M23 Wazungumza na Serikali
UMOJA wa Mataifa unasema kuwa Jeshi la Sudan Kusini limewapiga risasi na kuwauwa watu 10, ambao walikuwa wakiandamana kupinga kuhamishwa kwa Makao Makuu ya Serikali…
Continue Reading....Rais Mursi Aitisha Mjadala wa Kitaifa
RAIS Mohammad Mursi wa Misri amewaalika wapinzani nchini humo kufanya mazunguzo kwa lengo la kumaliza mgogoro unaoendelea nchini humo. Lakini maandamano dhidi yake na chama…
Continue Reading....