RAIS mteule wa Korea Kusini , Park Geun-hye, amesema ushindi wake katika uchaguzi mkuu utasaidia uchumi wa taifa hilo kuimarika. Bi. Park, ambaye ni mwanawe,…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Kagame Aonywa Dhidi ya Kuwasaidia Waasi
RAIS Barrack Obama wa Marekani ametoa wito kwa rais wa Rwanda Paul Kagame, kusitisha msaada anaotoa kwa makundi ya waasi nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya…
Continue Reading....Zuma Achaguliwa Tena Kuongoza ANC
RAIS Jacob Zuma amechaguliwa kwa mara nyingine kuwa kiongozi wa chama tawala nchini humo cha African National Congress ANC. Zuma alipata idadi kubwa ya kura…
Continue Reading....Kiongozi wa Waasi Aachiliwa Huru na ICC
Kiongozi wa zamani wa waasi congo Mathieu Ngudjolo Chui Mahakama ya Kimataifa ya jinai ya ICC, iliyoko The Hague, imemuachilia huru aliyekuwa kiongozi wa waasi…
Continue Reading....Msiwaue Wapenzi wa Jinsia Moja-Museveni.
Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amesema wapenzi wa jinsia moja hawapaswi kuuawa au kudhalilishwa, huku wabunge wa nchi hiyo wakiendelea na mjadala wa kutathmini kuhusu…
Continue Reading....Mkutano Mkuu wa ANC Waanza Afrika Kusini
CHAMA tawala cha Afrika Kusini (ANC) kimeanza mkutano wake wa taifa leo mjini Mangaung ambako chama hicho kiliundwa miaka 100 iliyopita. Katika kikao hicho chama…
Continue Reading....