Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 90

Category: Habari za Kimataifa

Sudan Zakubaliana Utekelezaji Makubaliano

Posted on: January 6, 2013 - jomushi
Sudan Zakubaliana Utekelezaji Makubaliano

MARAIS wa Sudan na Sudan Kusini wamekubaliana Januari 5, 2013 kuhusu muda utakaopangwa kwa ajili ya utekelezaji wa masuala muhimu, wakati walipokutana kwa faragha katika…

Continue Reading....

NPP Mahakamani Kupinga Matokeo Ghana

Posted on: December 29, 2012December 29, 2012 - jomushi
NPP Mahakamani Kupinga Matokeo Ghana

CHAMA Kuu cha Upinzani nchini Ghana kimewasilisha kesi katika mahakama kuu zaidi nchini humo kupinga ushindi wa rais John Mahama katika uchaguzi wa urais uliofanyika…

Continue Reading....

Marekani Yaondoa Wafanyakazi wake Bangui

Posted on: December 29, 2012December 29, 2012 - jomushi
Marekani Yaondoa Wafanyakazi wake Bangui

SERIKALI ya Marekani, imesema imewaondoa raia wake katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati, huku waasi wanaopinga serikali wakikaribia kuingia mji mkuu wa nchi hiyo Bangui.…

Continue Reading....

Jamhuri ya Afrika ya Kati yaomba msaada wa Ufaransa

Posted on: December 27, 2012December 27, 2012 - jomushi
Jamhuri ya Afrika ya Kati yaomba msaada wa Ufaransa

SERIKALI ya Jamhuri ya Afrika ya Kati imevitaka vikosi vya kulinda amani vya Ufaransa kusaidia kusimamisha juhudi za waasi kuendelea kusonga mbele katika harakati zao…

Continue Reading....

Hatimaye Nelson Mandela Aruhusiwa kurudi nyumbani

Posted on: December 27, 2012 - jomushi
Hatimaye Nelson Mandela Aruhusiwa kurudi nyumbani

Aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela, ameruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospitali moja mjini Pretoria. Ikulu ya rais nchini humo imesema rais huyo wa zamani…

Continue Reading....

Mlipuko mkubwa umetokea mjini Lagos

Posted on: December 27, 2012December 27, 2012 - jomushi
Mlipuko mkubwa umetokea mjini Lagos

Maafisa wa kuzima moto wakiendelea na kuzima moto katika ghala moja lililolipuka LagosMoto mkubwa umetokea katika mji mkuu wa Nigeria Lagos.Taarifa zinaarifu kuwa moto huo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari