Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 9

Category: Habari za Kimataifa

Wadudu wa Nyanya ‘Watangaza’ Hali ya Hatari Nigeria

Posted on: May 24, 2016 - jomushi
Post Tags: nigeria
Wadudu wa Nyanya ‘Watangaza’ Hali ya Hatari Nigeria

JIMBO moja nchini Nigeria limetangaza hali ya hatari kutokana na uhaba mkubwa wa nyanya. Jimbo hilo la Kaduna, kaskazini mwa Nigeria, limechukua hatua hiyo baada…

Continue Reading....

Clinton: Siwezi Kushindwa na Bernie Sanders

Posted on: May 20, 2016 - jomushi
Clinton: Siwezi Kushindwa na Bernie Sanders

Mgombea urais anayeongoza katika chama cha Democratic nchini Marekani Bi.Hillary Clinton amesema haiwezekani iwe kwamba hatakuwa mgombea wa chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Novemba.…

Continue Reading....

EgyptAir: Mabaki ya Ndege Yatafutwa

Posted on: May 20, 2016 - jomushi
EgyptAir: Mabaki ya Ndege Yatafutwa

Siku moja baada ya ndege ya shirika la Misri la EgyptAir kutoweka, vifusi vya ndege hiyo bado havijapatikana. Maafisa wa Misri wakisaidiwa na maafisa wa…

Continue Reading....

Mtuhumiwa Ufisadi Akamatwa na Saa ya Thamani USD Milioni 1

Posted on: April 27, 2016 - jomushi
Mtuhumiwa Ufisadi Akamatwa na Saa ya Thamani USD Milioni 1

POLISI wa kupambana na ufisadi nchini Nigeria, wamenasa saa yenye thamani ya takriban dola za Kimarekani milioni moja nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa zamani wa…

Continue Reading....

Hatutaongeza Muda wa Kuzizima Simu Feki – Waziri Mbarawa

Posted on: April 14, 2016 - jomushi
Post Tags: Simu Feki
Hatutaongeza Muda wa Kuzizima Simu Feki – Waziri Mbarawa

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiiano Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali haitaongeza muda katika zoezi zima la uzimaji wa simu feki ifikapo Juni 16 mwaka…

Continue Reading....

Obama Ajutia Makosa ya Marekani Dhidi ya Libya…!

Posted on: April 11, 2016 - jomushi
Post Tags: Barrack Obama
Obama Ajutia Makosa ya Marekani Dhidi ya Libya…!

RAIS wa Marekani Barack Obama amekiri kwa mara ya kwanza kwamba serikali yake ilishindwa katika utatuzi mzozo wa Taila la Libya. Alisema hilo huenda ndilo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari