MWENYEKITI wa Muungano wa Afrika, Thomas Boni Yayi, ametoa wito wa kutuma vikosi kusaidia wanajeshi kupambana na makundi ya wapiganaji nchini Mali. Wapiganaji hao ambao…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Uchumi wa EAC Waimarika 2012 Licha ya Vikwazo Lukuki
Na Isaac Mwangi, EANA UCHUMI katika kanda ya Afrika Mashariki uliendelea kuimarika mwaka uliopita, 2012 licha ya changamoto lukuki iliyokabiliana nazo.Kanda nzima ilionyesha uchumi wake…
Continue Reading....Wakuu 3 wa Polisi Wasimamishwa Kazi Kenya
MKUU wa polisi mkoani Rift Valley John M’mbijiwe anayedaiwa kuwa na uhusiano na mtu huyo mlaghai,John Waiganjo ingawa alikana kumfahamu Maafisa watatu waandamizi wa polisi…
Continue Reading....Upinzani Ghana Wamsusia Rais Mahama
CHAMA rasmi cha upinzani nchini Ghana, kimesusia sherehe za kuapishwa kwa rais mpya John Mahama kufuatia uchaguzi wa mwezi jana uliokumbwa na utata. Chama cha…
Continue Reading....Washukiwa wa Mapenzi ya Jinsia moja Waachiliwa huru
MAHAMAKA moja ya rufaa nchini Cameroon, imefutilia mbali hukumu dhidi ya watu wawili waliofungwa jela mwaka wa 2011, baada ya kupatikana na hatia ya kushiriki…
Continue Reading....Rais wa Ghana aapishwa rasmi mjini Accra
Chama kikuu cha upinzani nchini Ghana, kimesusia sherehe za kuapishwa kwa rais John Mahama kufuatia uchaguzi wa mwezi uliopita uliokumba na utata. Chama cha New…
Continue Reading....