VITUO vya kupiga kura vimefunga nchini Kenya katika mchakato mzima wa upigaji kura ya mchujo kote nchini. Katika baadhi ya maeneo ya Nairobi na viunga…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Wanajeshi Wajiandaa kwa Vita vya Ardhini Mali
Wanajeshi wa Ufaransa wanajiandaa kwa makabiliano yao ya kwanza muhumi ya ardhini wa wapiganaji wa waasi nchini Mali, baada ya kuanza safari hiyo kutoka mji…
Continue Reading....Al Shabaab kumuua Jasusi wa Ufaransa
WANAMGAMBO wa Al-Shabab nchini Somalia wanasema kuwa watamuua jasusi wa Ufaransa Denis Allex, ambaye Ufaransa ilisema kuwa alikuwa tayari ameuawa wakati jaribio la kumuokoa lilipotibuka.…
Continue Reading....Wapiganaji Wauteka Mji Mwingine Mali
Wapiganaji wa kiisilamu walioteka Kaskazini mwa Mali Wapiganaji wa kiisilamu wameuteka mji uliokuwa unadhibitiwa na wanajeshi wa serikali licha ya harakati za kijeshi dhidi ya…
Continue Reading....Mubarak Ashinda Kesi ya Rufaa
RAIS wa zamani wa Misri, Hosni Mubarak, ameruhusiwa kufanyiwa kesi nyengine kwa makosa ya kutozuwia mauaji ya waandamanaji mamia kadha wakati wa ghasia zilizomuondoa madarakani.…
Continue Reading....Mapigano ya Kikabila Yaendelea Kenya
WATU 11 wameuawa na wengine 15 kujeruhiswa mapema Alhamisi kwenye shambulio la kulipiza kisasi baina ya jamii mbili zinazohasimiana katika eneo la Tana River Delta.…
Continue Reading....