POLISI nchini Afrika Kusini wamewakamata watu wanaoaminika kuwa washukiwa wa kundi la waasi wa M23 wanaoendeshea harakati zao katika Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo. Polisi…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Wafungwa wa Mauaji ya Kimbari Waachiliwa
MAHAKAMA inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa imebatilisha uamuzi wa kesi iliyowahusu mawaziri wawili wa zamani nchini Rwanda na kuamuru waachiliwe mara moja. Justin Mugenzi…
Continue Reading....Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Irina Bokova’s Awasili nchini
span style=”color: #000000;”> Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akimlaki Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi. Irina Bokova’s aliyewasili nchini usiku wa…
Continue Reading....JK Akutana, Afanya Mazungumzo na Maafisa Waandamizi wa Serikali za Burundi na DRC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili, Februari 3, 2013, amekutana na kufanya mazungumzo na maofisa waandamizi wa Serikali za nchi…
Continue Reading....25th International Africa Festival
Lile tamasha kubwa la tamaduni za kiafrika litafanyika tena jijini Wurzburg, nchini Ujerumani kuanzia May 30 – June 2, 2013. Haya ndugu zangu, mnaotaka kuudhuria…
Continue Reading....Ombaomba waongezeka Marekani!
Na muandishi wetu, Santa Barbara, California. Wimbi la ombaomba limekuwa ni kero kwa wakazi na watalii wa mji wa Santa Barbara hapa USA. Uchunguzi uliofanyika…
Continue Reading....